Hali ya CHADEMA mwanza yashuka

Hali ya CHADEMA mwanza yashuka

watu wa jiji la mwanza walikuwa bizena maandalizi ya miaka 37 ya chama chetu tawala. kulikuwa na posho za kutosha na wengine tulipata free tiket go and return to Mbeya. Kumbukeni lesson learned kwa wah.Madiwani wa arusha......
 
makengeza yako niya ajabu kawaida makengeza huongeza idadi ya vitu sasa wewe ulikuwa mwanza ipi mimi nilikuwepo mkuu furahisha ilifurika km kawaida au unatumika?
 
makengeza yako niya ajabu kawaida makengeza huongeza idadi ya vitu sasa wewe ulikuwa mwanza ipi mimi nilikuwepo mkuu furahisha ilifurika km kawaida au unatumika?
Bado Nina makengeza?
 
Back
Top Bottom