Tip Master
JF-Expert Member
- Oct 17, 2011
- 510
- 573
Najua humu jamvini kuna watu wenye kuona kwa jicho la tatu watakubaliana namimi kwa hili nalotaka kulisema,wakuu wanajf msidanganywe na picha ambazo zimepigwa na wana cdm,tena kwa angle ambayo waliona wao yafaa kuyadanganya macho,mi mwenye nilikuepo jana na watu walikua wa kawaida sana kwa jiji kama la mwanza.jiji la mwanza ni miongoni mwa maeneo ambapo unaweza kujaza watu tena zaidi ya hao hata kwa ugomvi wa kuku.
Wanajf nimesema hali ya ushawishi kwa cdm mwanza imeshuka kwa ishara zifuatazo.,
1.Kipindi cha nyuma gari ya matangazo ilipokua ikipita ikitangaza jambo lolote kuhusu cdm lilikua likilakiwa kwa miluzi,mbinja pmj na mayowe kila lipitapo lakin jana na juzi hali hyo haikujitokeza.
2.Mikutano yote ya cdm ilipokua inafanyika yenye kuhusisha kiongozi yeyote wa kitaifa pamoja na mbunge wa nyamagana ilipelekea shughuli za kimachinga kusitishwa na wamachinga wenyewe kwenda kwenye mikutano hyo lakin hali hyo jana haikuwepo.na kama kuna anaebisha kuhusu hili hazibitishe.
3.Jana kwa mitaa ya mwanza kwa uchunguz wangu ambao haukua rasmi sikubahatika kuona kikundi au kijiwe chochote kikimwongelea dr slaa tofauti na hapo kabla ambapo ujio wa dr ulikua ndio story mpaka vichaa walikua alert.
Sehemu pekee ambazo walijaribu kumwongelea ni vijiwe vya kemondo,mwalon pmj na furahisha na story nyingi zikiwa ni kwanini dr pmj na kamati kuu wanatumia gharama kubwa kupima upepo wa Zzk?

Ninaposema watu walikua wakawaida namaanisha