Hali ya CHADEMA mwanza yashuka

Hali ya CHADEMA mwanza yashuka

Tip Master

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2011
Posts
510
Reaction score
573
Najua humu jamvini kuna watu wenye kuona kwa jicho la tatu watakubaliana namimi kwa hili nalotaka kulisema,wakuu wanaJF msidanganywe na picha ambazo zimepigwa na wana CHADEMA,tena kwa angle ambayo waliona wao yafaa kuyadanganya macho,mi mwenye nilikuepo jana na watu walikuwa wa kawaida sana kwa jiji kama la Mwanza.Jiji la Mwanza ni miongoni mwa maeneo ambapo unaweza kujaza watu tena zaidi ya hao hata kwa ugomvi wa kuku.

WanaJF nimesema hali ya ushawishi kwa CHADEMA Mwanza imeshuka kwa ishara zifuatazo.,
1.Kipindi cha nyuma gari ya matangazo ilipokuwa ikipita ikitangaza jambo lolote kuhusu CHADEMA lilikuwa likilakiwa kwa miluzi,mbinja pamoja na mayowe kila lipitapo lakini jana na juzi hali hyo haikujitokeza.

2. Mikutano yote ya chadema ilipokuwa inafanyika yenye kuhusisha kiongozi yeyote wa kitaifa pamoja na mbunge wa nyamagana ilipelekea shughuli za kimachinga kusitishwa na wamachinga wenyewe kwenda kwenye mikutano hyo lakini hali hyo jana haikuwepo na kama kuna anayebisha kuhusu hili athibitishe.

3. Jana kwa mitaa ya Mwanza kwa uchunguzi wangu ambao haukuwa rasmi sikubahatika kuona kikundi au kijiwe chochote kikimuongelea Dr. Slaa tofauti na hapo kabla ambapo ujio wa Slaa ulikuwa ndio story mpaka vichaa waliku alert.

Sehemu pekee ambazo walijaribu kumwongelea ni vijiwe vya Kemondo,Mwaloni pamoja na Furahisha na story nyingi zikiwa ni kwanini Slaa pamoja na kamati kuu wanatumia gharama kubwa kupima upepo wa ZZK?
 
Najua humu jamvini kuna watu wenye kuona kwa jicho la tatu watakubaliana namimi kwa hili nalotaka kulisema,wakuu wanajf msidanganywe na picha ambazo zimepigwa na wana cdm,tena kwa angle ambayo waliona wao yafaa kuyadanganya macho,mi mwenye nilikuepo jana na watu walikua wa kawaida sana kwa jiji kama la mwanza.jiji la mwanza ni miongoni mwa maeneo ambapo unaweza kujaza watu tena zaidi ya hao hata kwa ugomvi wa kuku.

Wanajf nimesema hali ya ushawishi kwa cdm mwanza imeshuka kwa ishara zifuatazo.,
1.Kipindi cha nyuma gari ya matangazo ilipokua ikipita ikitangaza jambo lolote kuhusu cdm lilikua likilakiwa kwa miluzi,mbinja pmj na mayowe kila lipitapo lakin jana na juzi hali hyo haikujitokeza.
2.Mikutano yote ya cdm ilipokua inafanyika yenye kuhusisha kiongozi yeyote wa kitaifa pamoja na mbunge wa nyamagana ilipelekea shughuli za kimachinga kusitishwa na wamachinga wenyewe kwenda kwenye mikutano hyo lakin hali hyo jana haikuwepo.na kama kuna anaebisha kuhusu hili hazibitishe.
3.Jana kwa mitaa ya mwanza kwa uchunguz wangu ambao haukua rasmi sikubahatika kuona kikundi au kijiwe chochote kikimwongelea dr slaa tofauti na hapo kabla ambapo ujio wa dr ulikua ndio story mpaka vichaa walikua alert.
Sehemu pekee ambazo walijaribu kumwongelea ni vijiwe vya kemondo,mwalon pmj na furahisha na story nyingi zikiwa ni kwanini dr pmj na kamati kuu wanatumia gharama kubwa kupima upepo wa Zzk?

Weka picha zinazoonyesha ukisemacho badala ya maneno matupu.
 
Ifike mahali tukubali ukweli hata kama unaumiza mtima.
 
Mkuu kwanza hiki si kipindi cha kampeni, ni wkati wa kuelimishana kwa maandalizi ya 2015 you will see the fire of ..........................................................................cdm
 
Najua humu jamvini kuna watu wenye kuona kwa jicho la tatu watakubaliana namimi kwa hili nalotaka kulisema,wakuu wanajf msidanganywe na picha ambazo zimepigwa na wana cdm,tena kwa angle ambayo waliona wao yafaa kuyadanganya macho,mi mwenye nilikuepo jana na watu walikua wa kawaida sana kwa jiji kama la mwanza.jiji la mwanza ni miongoni mwa maeneo ambapo unaweza kujaza watu tena zaidi ya hao hata kwa ugomvi wa kuku.

Wanajf nimesema hali ya ushawishi kwa cdm mwanza imeshuka kwa ishara zifuatazo.,
1.Kipindi cha nyuma gari ya matangazo ilipokua ikipita ikitangaza jambo lolote kuhusu cdm lilikua likilakiwa kwa miluzi,mbinja pmj na mayowe kila lipitapo lakin jana na juzi hali hyo haikujitokeza.
2.Mikutano yote ya cdm ilipokua inafanyika yenye kuhusisha kiongozi yeyote wa kitaifa pamoja na mbunge wa nyamagana ilipelekea shughuli za kimachinga kusitishwa na wamachinga wenyewe kwenda kwenye mikutano hyo lakin hali hyo jana haikuwepo.na kama kuna anaebisha kuhusu hili hazibitishe.
3.Jana kwa mitaa ya mwanza kwa uchunguz wangu ambao haukua rasmi sikubahatika kuona kikundi au kijiwe chochote kikimwongelea dr slaa tofauti na hapo kabla ambapo ujio wa dr ulikua ndio story mpaka vichaa walikua alert.
Sehemu pekee ambazo walijaribu kumwongelea ni vijiwe vya kemondo,mwalon pmj na furahisha na story nyingi zikiwa ni kwanini dr pmj na kamati kuu wanatumia gharama kubwa kupima upepo wa Zzk?

Mm pia nimehudhuria mkutano Dr slaa maswa mwitikio ulikuwa ni mdogo sana. Na wengi walionekana kuvutiwa na ndege zaidi ya Dr slaa. Lakini aliwaudhi wana maswa kwa kuwambia kuwa hakuna anaeweza kuandika billion moja kwa tarakimu na akamalizia kwa kusema kuwa 1b Tshs inajaa roli ya tani kumi. Hapo kila mtu alimshangaa Dr.
 
Ccm ni kama maji usipoyanywa basi utayaoga.
 
dony ulikuwa wapi tangu jana? Ulikuwa unakusanya umbea? Kwanini haukupost hii thread yako jana unasubili masaa almost 24 ndo unaleta upambe? Mwambie zzk nae aje mwz akafanye huo mkutano
 
Mtoa nada ni mpuuzi kabisa kwasababu tathimini alyoitoa so ya kimantiki kwani haina takwimu za kisayanzi. Namshauri sense aisle ubwabwa WA kijani mbeya. Kimaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Ninaposema watu walikua wakawaida namaanisha
 
Walikua wa kawaida ukilinganisha na watu wajiji la mwanza
 
Attachments

  • 1391351385075.jpg
    1391351385075.jpg
    90.9 KB · Views: 205
Kipindi dr slaa ana hit ulikua ukienda kwenye mikutano yake ilikua utakiwi unyanyue mguu,maana ulikua ukinyanyua mguu tu unakuta mtu kashaweka wa kwake,buu now days ukiwa mtu wa kusuka ukili(mkeka)
 
now dayz waweza kwenda na ukili na ukasukia mkutanon coz open space zpo bwerere
 
Wana mwanza wamekoma kuchagua chagua mtu hovyo hovyo. Toka achaguliwe wenje hakuna jipya zaidi ya kongamano, maandamano, harambee. Hakuna development plan wala strategies (hakuna vision wala mission)
Huku wananchi wanahitaji wepesi wa maisha na wengi wasiofahamu wanadhani chadema ndo Jibu. Sasa kama hivi tu kwenye ubunge hakuna jipya wala ishu wala plan mkakati uliopo ni kuwaambiwa tunajipanga kuchukua nchi. Sasa kuchukua nchi na familia zao sasa zinafanyaje kwa huu muda kabla ya kuchukua nchi? Hili ndo swali watu wamejaribu kujiuliza,mwisho wa siku wamejikuta kwenye kazi kwanza hata aje nani, maana nyumbani hawasubiri chadema wachukue nchi, baba mwenye nyumba anataka chake,hasubiri chadema ichikue nchi, shule hazisubiri chadema ichukue nchi.
 
Jk watu aliokuwa nao leo mbeya wote awafikii hata nusu ya watu furahisha jana
 
Kingine mwanza tumeshafahamu mbunge hakuna kitu anachofanya zaidi ya kuleta talalila tu. Sisi mwanza ukiongea anaekomaa kusuma mwanza iende ni mheshimiwa Mabula ambae ni mayor wa jiji. Huyu ndie muokozi wa wana mwanza na sio chadema na stori nyingi zisizokuwa na faida,na kuleta bughudha kwenye mji wetu na vurugu zisizokuwa na mpango.
 
Hata yule masikin alietoa sadaka kidogo kuliko wale watoza ushuru,yesu kwa maesabu yake aliona yeye ndo katoa kiasi kikubwa kuliko wote,unajua kwanin?basi hali kama hyo ndo imetokea mbeya leo
 
Ninaposema watu walikua wakawaida namaanisha

Unamaanisha nini? Ni jambo la aibu mtu mzima kudanganya watu. Wote tumeshuhudia jana kitu gani kimefanyika. Nitajie mkutano gani wa CCM ambao uliwahi kupata hata nusu ya waliokuwepo jana pamoja na kuwa mikutano yao inaandaliwa na burudani kibao?
 
Back
Top Bottom