Sitetei upuuzi Kama huu .....Ila Kama uko Dar zunguka Leo mitaa ya Dar uone maji,takataka,mavi yanavyotuama mitaani.
Tuache siasa Kwa sisi wa vijijini tuliopita na Dar hiyo barabara inahitajitaji changamoto ndogo sana kuliko barabara za jiji la Dar kwenye Ikulu.
Kwanini hizi barabara hudumu kwa muhula wa muongo mmoja pengine hata isifike Na kuharibika, tatizo nini?Sitetei upuuzi Kama huu .....Ila Kama uko Dar zunguka Leo mitaa ya Dar uone maji,takataka,mavi yanavyotuama mitaani.
Tuache siasa Kwa sisi wa vijijini tuliopita na Dar hiyo barabara inahitajitaji changamoto ndogo sana kuliko barabara za jiji la Dar kwenye Ikulu.
aliyekuwa waziri wa ujenzi amepanda cheo , huyo ndio anaweza kujibu swali lako .Kwanini hizi barabara hudumu kwa muhula wa muongo mmoja pengine hata isifike Na kuharibika, tatizo nini?
What's your point? Mwakyembe kutokuwa na barabara nzuri jimboni kwake kuna uhusiano gani na ufanisi wake wa kazi? Wizara ya ujenzi ndiyo yenye maamuzi kuhusu ni barabara zipi zitengenezwe na zipi ziachwe. Hata waziri wa ujenzi mwenyewe hawezi kuamua kuwa ajenge barabara za jimboni kwake kama haziko kwenye priority ya mipango ya serikali. Unataka kuniambia kuwa hilo hulijui? Kama tunataka viongozi wetu wafanye kazi kwa ufanisi lazima na sisi tuwa judge kwa haki bila kuwaonea. Responsibility is for all of us!!Hii ilikuwa barabara bora kabisa miaka ya tisini, ni toka njia panda ya Border mpaka Itungi port!! Mwanzoni mwa miaka ya 2000 ilifumuliwa na kujengwa upya, hapo ndipo matatizo yalipoanzia.. Hii ni moja ya barabara mbovu kabisa kupata kutokea kama mnavyoona pichani, imejaa mashimo kila pahala na mvua ikinyesha ni madimbwi matupu!! Kila kukicha mafundi wapo barabarani, lakini hakuna nafuu!!
Magufuli tunaomba imulike barabara yetu, kuna watu wameigeuza kuwa mradi na ajira ya kudumu kwao, ni kheri ifumuliwe na kujengwa upya kuliko huu uhuni unaofanyika!
Dah Kyela kumbe mahandhari yake kama ya pwani vile ama macho yangu!Hii ilikuwa barabara bora kabisa miaka ya tisini, ni toka njia panda ya Border mpaka Itungi port!! Mwanzoni mwa miaka ya 2000 ilifumuliwa na kujengwa upya, hapo ndipo matatizo yalipoanzia.. Hii ni moja ya barabara mbovu kabisa kupata kutokea kama mnavyoona pichani, imejaa mashimo kila pahala na mvua ikinyesha ni madimbwi matupu!! Kila kukicha mafundi wapo barabarani, lakini hakuna nafuu!!
Magufuli tunaomba imulike barabara yetu, kuna watu wameigeuza kuwa mradi na ajira ya kudumu kwao, ni kheri ifumuliwe na kujengwa upya kuliko huu uhuni unaofanyika!
tatizo kubwa la mwakyembe ni kudhani kuwa anajua kuliko mtu yoyote , hana ule uwakilishi wa kibunge kwa maana ya kushawishi wadau wa kyela kuingia katika mjadala wa kuokoa kyela , mwache aendelee kuhakikisha kyela inatokomea tuone mwisho wake .Mwakyembe anashindwa kujifunza kwa Mbunge Makini Mh.Sugu apo Mbeya town!!
Hii ilikuwa barabara bora kabisa miaka ya tisini, ni toka njia panda ya Border mpaka Itungi port!! Mwanzoni mwa miaka ya 2000 ilifumuliwa na kujengwa upya, hapo ndipo matatizo yalipoanzia.. Hii ni moja ya barabara mbovu kabisa kupata kutokea kama mnavyoona pichani, imejaa mashimo kila pahala na mvua ikinyesha ni madimbwi matupu!! Kila kukicha mafundi wapo barabarani, lakini hakuna nafuu!!
Magufuli tunaomba imulike barabara yetu, kuna watu wameigeuza kuwa mradi na ajira ya kudumu kwao, ni kheri ifumuliwe na kujengwa upya kuliko huu uhuni unaofanyika!
Ni kweli mkuu. Nilishafika kyela kipini flani hadi nikashangaa kwa nini nayo imo kwenye nyanda za juu kusini. Ipo chini sana, labda sababu ya ziwa, na mandhali yake ni kama ukanda wa pwaniDah Kyela kumbe mahandhari yake kama ya pwani vile ama macho yangu!