KURA ZA SIRI
Member
- Oct 3, 2014
- 18
- 3
Sasa ni dhahiri hali ya shirika la elimu Kibaha ni mbaya sana hasa kiuchumi...licha ya kwamba taasisi hii imeshindwa kujiendesha yenyewe kama shirika la umma kwa muda mrefu lakini sasa hali imezidi kuwa tete kufatia DAWASCO kukata maji na sasa ni takribani wiki mbili shirika halina maji.
Taarifa za uhakika zinadai shirika linadaiwa na DAWASCO zaidi ya milioni 40 za maji...kutokana na kadhia hiyo taasisi za shirika hili zikiwemo shule moja ya msingi,,,shule tatu za sekondari,,,hospitali ya rufaa ya mkoa wa Pwani,,,chuo cha maendeleo ya jamii,,chuo cha maafisa tabibu,,,nyumba za watumishi zenye familia zaidi ya 150 na hostels ni wiki ya pili sasa wanaishi bila maji ya uhakika.
Hali imekuwa tete na wiki jana watumishi wa shirika hilo waishio mtaa wa Osterbay walitoboa mojawapo ya bomba la DAWASCO na wakaanza kupata maji,,,hata hivyo DAWASCO baadae walifika na kuziba bomba hilo na kubeba vifaa vya wote waliokutwa wakichota maji hayo.
Hayo yakiendelea kuna harufu ya ubadhirifu katika hili maana watumishi wote wanaoishi katika nyumba za shirika kila mmoja anakatwa bill ya maji kwenye mshahara kwa viwango tofauti kati ya elfu 10 hadi elfu 17 kulingana na salary scales kila mwezi na hela inakatwa moja kwa moja hazina...
,,,,,KAIMU MKURUGENZI BWANA ROBERT SHILINGI HILI TAYARI LIMEKUVUA NGUO