Tunaisoma??
Wanaisoma??
Wayaaa
Wayaaaa
Tunasomana kifo cha mende chaliii
Hatari sana, wale wasio na smart lazima wasikilize vipindi vya michezo, utawasikia "Man U wase.nge kweli, wamenichania mkeka wangu"Hali tete kweli, Tanzania ya leo si vijana, si watoto, si wazee wote wanapigana vikumbo kwenye kubeti.
Ukute sasa wanaombana peni halafu deadline imekaribia, wanavyotukanana kama wote rika moja kumbe mtu mwanae/mjukuu.
Na ikifika mida ya jioni mda wa kutangaza washindi sijui BIKO mara tatu mzuka na nyingine kibao hapo ndipo hadi unatamani kucheka au huruma ina jaa unakuta mzee wa watu anasikikiza kwa makini akidhani atatajwa kwa washindi..
Siku hizi playstore wanazijua sana mpaka odds
Wanatupa tabu sana kuwaelewesha..
Hao hao ndio wa kwanza kusema oyee
Hali ni tete
Nyumba zinauzwa mtu dukani anabidhaa lakini wateja hapati mzunguko wa pesa ni mdogo..
Aiseee mlioko karibu na mkuu mwambieni ukweli hata hivyo ni msomaji mzuri sana wa jamiiforum
Na haya ndio matokeo ya utawala wa jiwe, anatuambia uchumi unapanda tutembee vifua mbele, kweli???
mapipando
Mberee????Tutembeee kifua MBEREEEEE
Mkuu wewe ni mchochezi unatakiwa ukamatwe na ufungwe maisha,Rais kafanya kazi nzuri sana,uchumi wa Tanzania ni mkubwa mara saba ya uchumi wa Uingereza na mwakani tutakuwa Donna kantre.Hali tete kweli, Tanzania ya leo si vijana, si watoto, si wazee wote wanapigana vikumbo kwenye kubeti.
Ukute sasa wanaombana peni halafu deadline imekaribia, wanavyotukanana kama wote rika moja kumbe mtu mwanae/mjukuu.
Na ikifika mida ya jioni mda wa kutangaza washindi sijui BIKO mara tatu mzuka na nyingine kibao hapo ndipo hadi unatamani kucheka au huruma ina jaa unakuta mzee wa watu anasikikiza kwa makini akidhani atatajwa kwa washindi..
Siku hizi playstore wanazijua sana mpaka odds
Wanatupa tabu sana kuwaelewesha..
Hao hao ndio wa kwanza kusema oyee
Hali ni tete
Nyumba zinauzwa mtu dukani anabidhaa lakini wateja hapati mzunguko wa pesa ni mdogo..
Aiseee mlioko karibu na mkuu mwambieni ukweli hata hivyo ni msomaji mzuri sana wa jamiiforum
Na haya ndio matokeo ya utawala wa jiwe, anatuambia uchumi unapanda tutembee vifua mbele, kweli???
mapipando
Nawe ni Muhanga wa kubeti Mkuu?Hivi ni upi haswa mchango wa hizi betting (kamari) lukuki zilizosheheni kila kona, kwenye kukuza uchumi wa nchi?
Maana utasikia huku kuna tatu zimezuka, siju Boko...kila kukicha utasikia kuna Mamilionea wamepatikana na bado Kitaani unasikia malalamiko kuwa vyuma vimekaza.