Hali tete kweli, Tanzania ya leo si vijana, si watoto, si wazee wote wanapigana vikumbo kwenye kubeti

Mr Nyau

JF-Expert Member
Oct 18, 2018
333
1,000
Hali tete kweli, Tanzania ya leo si vijana, si watoto, si wazee wote wanapigana vikumbo kwenye kubeti.Ukute sasa wanaombana peni halafu deadline imekaribia, wanavyotukanana kama wote rika moja kumbe mtu mwanae/mjukuu.

Na ikifika mida ya jioni mda wa kutangaza washindi sijui BIKO mara tatu mzuka na nyingine kibao hapo ndipo hadi unatamani kucheka au huruma ina jaa unakuta mzee wa watu anasikikiza kwa makini akidhani atatajwa kwa washindi..
Siku hizi playstore wanazijua sana mpaka odds
Wanatupa tabu sana kuwaelewesha..
Hao hao ndio wa kwanza kusema oyee

Hali ni tete
Nyumba zinauzwa mtu dukani anabidhaa lakini wateja hapati mzunguko wa pesa ni mdogo..
Aiseee mlioko karibu na mkuu mwambieni ukweli hata hivyo ni msomaji mzuri sana wa jamiiforum

Na haya ndio matokeo ya utawala wa jiwe, anatuambia uchumi unapanda tutembee vifua mbele, kweli???

mapipando
 
Mr Nyau

JF-Expert Member
Oct 18, 2018
333
1,000
Wazee wa enzi ya JK na wazee wa enzi hizi za JPM naona wa kipindi hiki wanajua sana tekinolojiaa..

#tunatekeleza
 
mapipando

JF-Expert Member
Jun 8, 2015
2,806
2,000
Hali tete kweli, Tanzania ya leo si vijana, si watoto, si wazee wote wanapigana vikumbo kwenye kubeti.Ukute sasa wanaombana peni halafu deadline imekaribia, wanavyotukanana kama wote rika moja kumbe mtu mwanae/mjukuu.

Na ikifika mida ya jioni mda wa kutangaza washindi sijui BIKO mara tatu mzuka na nyingine kibao hapo ndipo hadi unatamani kucheka au huruma ina jaa unakuta mzee wa watu anasikikiza kwa makini akidhani atatajwa kwa washindi..
Siku hizi playstore wanazijua sana mpaka odds
Wanatupa tabu sana kuwaelewesha..
Hao hao ndio wa kwanza kusema oyee

Hali ni tete
Nyumba zinauzwa mtu dukani anabidhaa lakini wateja hapati mzunguko wa pesa ni mdogo..
Aiseee mlioko karibu na mkuu mwambieni ukweli hata hivyo ni msomaji mzuri sana wa jamiiforum

Na haya ndio matokeo ya utawala wa jiwe, anatuambia uchumi unapanda tutembee vifua mbele, kweli???

mapipando
Hatari sana, wale wasio na smart lazima wasikilize vipindi vya michezo, utawasikia "Man U wase.nge kweli, wamenichania mkeka wangu"
 
My Son drink water

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
4,233
2,000
Hali tete kweli, Tanzania ya leo si vijana, si watoto, si wazee wote wanapigana vikumbo kwenye kubeti.Ukute sasa wanaombana peni halafu deadline imekaribia, wanavyotukanana kama wote rika moja kumbe mtu mwanae/mjukuu.

Na ikifika mida ya jioni mda wa kutangaza washindi sijui BIKO mara tatu mzuka na nyingine kibao hapo ndipo hadi unatamani kucheka au huruma ina jaa unakuta mzee wa watu anasikikiza kwa makini akidhani atatajwa kwa washindi..
Siku hizi playstore wanazijua sana mpaka odds
Wanatupa tabu sana kuwaelewesha..
Hao hao ndio wa kwanza kusema oyee

Hali ni tete
Nyumba zinauzwa mtu dukani anabidhaa lakini wateja hapati mzunguko wa pesa ni mdogo..
Aiseee mlioko karibu na mkuu mwambieni ukweli hata hivyo ni msomaji mzuri sana wa jamiiforum

Na haya ndio matokeo ya utawala wa jiwe, anatuambia uchumi unapanda tutembee vifua mbele, kweli???

mapipando
Mkuu wewe ni mchochezi unatakiwa ukamatwe na ufungwe maisha,Rais kafanya kazi nzuri sana,uchumi wa Tanzania ni mkubwa mara saba ya uchumi wa Uingereza na mwakani tutakuwa Donna kantre.
Magufuli hoyeeeeeeeee.......
CCM hoyeeeeeeeeeeee........
 
May Day

JF-Expert Member
May 18, 2018
3,511
2,000
Hivi ni upi haswa mchango wa hizi betting (kamari) lukuki zilizosheheni kila kona, kwenye kukuza uchumi wa nchi?

Maana utasikia huku kuna tatu zimezuka, siju Boko...kila kukicha utasikia kuna Mamilionea wamepatikana na bado Kitaani unasikia malalamiko kuwa vyuma vimekaza.
 
FYATU

JF-Expert Member
Dec 7, 2011
5,365

Nawe ni Muhanga wa kubeti Mkuu?
 
Miki123

JF-Expert Member
Apr 27, 2018
229
500
Sema hii michezo ya kubahatisha na kamali zimeshika kasi kipindi hiki na naona mikapuni kibao tu yakamali yakichepuka.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom