A
Anonymous
Guest
Soko la Stereo limekuwa na changamoto kwa wafanyabiashara.
Mnamo tarehe 11/04/2025 soko la stereo lilivunjwa kwa upande ili kupisha ujenzi. Wafanyabiashara tukahamishiwa barabarani kwa muda kupisha ujenzi.
Viongozi wa soko walituambia tupishe ujenzi, na ndani ya mwezi mmoja ujenzi utakuwa umekamilika lakini hadi leo hii yapata miezi mitatu hakuna kinachoendelea.
Wafanyabiashara tumewekwa barabarani, biashara imekuwa ngumu na madeni kibao. Tukienda kuwauliza viongozi kujua nini kinachoendelea, hakuna tunachojibiwa cha maana. Hili janga sijui litaisha lini.