Hali sio shwari UVCCM taifa, kuna ubadhilifu mkubwa

Urio kimiroI

Senior Member
Jan 2, 2016
146
74
UVCCM imeendelea kupoteza mvuto mbele ya umma na serikali yake.

Kwanza haikuwa na mchango wowote kwenye uchaguzi zaidi ya uvujaji wa fedha za jumuia, aliyeibua wizi wa uuzwaji wa viwanja na ufujaji wa fedha za jengo la makao makuu MWALIMU EGLA MWAMOTO amesimamishwa nafasi yake ya Katibu Idara ya Hamasa. Baada ya kusimamishwa amekaimishwa Asenga Abubakari

Makosa ya mwalimu EGLA
1. Kudai ukaguzi kwenye mapato na matumizi ya jumuia

2. Alishiriki kama mwenyekiti wakamati ya kufuatilia uuzwaji wa mashamba ya UVCCM Iringa ambapo mwkt Sadifa Juma, katibu wa UVCCM Shaka Hamidu Shaka wanahusika na Omar Mwanang'walu


1.SADIFA JUMA SADIFA MKITI
2.MBONI ZABEIN MHITA MAKAMU MKTI
3.SHAKA HAMDU SHAKA (KAIMU KTB MKUU
4.MFAUME KIZIGO (NAIBU BARA
5.ABDUL GHAFARY (NAIBU ZBAR
6.OMAR SULEIMAN (MKUU IDARA YA UCHUMI
7.ZAINAB KATIMBA (MKUU IDARA YA CHIPUKIZI, SECONDARY NA VYUO
8.OMAR NGW'ANANG'WALU (MKUU WA UTAWALA
EGLA MAMOTO (MKUU IDARA YA HAMASA UTAFITI NA MAWASILIANO

ALIYEPENDEKEZWA MPYA NI ASENGA ABOUBAKAR


Kama kunajipu litumbuliwe
 
Kosa lako weye mlete hoja ni kutaka kutuaminisha kuwa CCM kuna udini. Hapo umekosea kabisa. Kama hao Wagalatia hawagombei tufanyeje?? CCM hakuna udini
 
Hapo ulitegemea waache kuiba wakt mwenyekiti kaongeza wa 4....kulea hpo kma huna hela utakua kichaa so lazma akwibe tu kuhudumia wake 4 sio kazi ndogo bdo watoto n ndgu....sadifa ni kimeo hana jipya kma wenyekiti waliopita
 
Kosa lako weye mlete hoja ni kutaka kutuaminisha kuwa CCM kuna udini. Hapo umekosea kabisa. Kama hao Wagalatia hawagombei tufanyeje?? CCM hakuna udini
Hats hivyo historia inaonesha TAA, TANU na kisha ccm upwani umekita miguu wengine no wafuasi tu wenye chama wapo
 
kwa jina lingine hii jumuiya inaitwa " jumuiya ya ngumi za posho " ukiwasikia ujue ni ugomvi wa hela za makundi , ndio jumuiya inayotia aibu zaidi kwenye ukanda wa maziwa makuu.
 
UVCCCM ilibinafsishwa kwa akina Riz1 wakati wa awamu iliyopita. Yeyote aliyeonekana haivi naye aling'olewa. ßashe, Malisa, Millya, Gambo na yule mzanzibar, jina limenitoka sasa naibu waziri. walikumbana na fitina za baba na mwana.
 
Uvccm imeendelea kupoteza mvuto mbele ya umma na serikali yake kwanza haikuwa na mchango wowote kwenye uchaguzi zaidi ya uvujaji wa fedha za jumuia aliyeibua wizi wa uuzwaji wa viwanja na uvujaji wa fedha za jengo la makao makuu MWALIMU EGLA MWAMOTO amesimamishwa nafasi yake ya katibu idara ya hamasa baada ya kusimamishwa amekaimishwa Asenga Abubakari

makosa ya mwalimu EGLA
1.kudai ukaguzi kwenye mapato na matumizi ya jumui

2. alishiriki kama mwkt wakamati ya kufuatilia uuzwaji wa mashamba ya Uvccm Iringa ambapo mwkt Sadifa Juma katibu wa Uvccm Shaka hamidu shaka wana husika na Omar mwanang'walu

3 najiuliza tuu nini kosa la egla au dini yake ?




1.SADIFA JUMA SADIFA MKITI (MUISLAM)
2.MBONI ZABEIN MHITA MAKAMU MKTI (MUISLAM)
3.SHAKA HAMDU SHAKA (KTB MKUU MUISLAM)
4.MFAUME KIZIGO (NAIBU BARA MUISLAM)
5.ABDUL GHAFARY (NAIBU ZBAR MUISLAM)
6.OMAR SULEIMAN (MKUU IDARA YA UCHUMI MUISLAM )
7.ZAINAB KATIMBA (MKUU IDARA YA CHIPUKIZI, SECONDARY NA VYUO MUISLAM)
8.OMAR NGW'ANANG'WALU (MKUU WA UTAWALA MUISLAM )
EGLA MAMOTO (MKUU IDARA YA HAMASA UTAFITI NA MAWASILIANO MKRISTO )

ALIYEPENDEKEZWA MPYA NI ASENGA ABOUBAKAR (MUISLAM)


kama kunajipu litumbuliwe
This can not be a coincidence in a population of almost half Muslims half Christians!
 
Huyo Mkristo anaudhi wenzake kwa wizi wake.
Binafsi hua sipendi kusikia masuala ya dini kwenye mambo ya uongozi katika siasa! Tusilau kwa kuangalia masuala ya kiimani zaidi ni tabia ya mtu tu, hili kwa waislam kupangana kwenye taasisi hizi naona ni kama automatic tu.
 
Hilo la dini limekaa vibaya hata kama jamaa atakuwa na makosa mengine. Lina ukakasi. UVCCM ni jipu kubwa lipasuliwe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom