Bonge ameshikwa na uoga 😆😆 mwanzo alipata ujasiri baada ya kuona mwenzake amefanikiwa kuvuka, sasa ngoja achelewe alafu hilo gari lianze kusukumwa na maji ndipo akili imkae sawa 😆😆
Yaan kama hapo unashindwaje kujiokoa.:hivi unakuwa mwanaume hata mazoez hufanyi?? Yaan utasikia lori limeua mmoja na mmoja amepona ndio hii sasa...wanawake ni wavumilivu sana...