Hali ni tete ndani ya UKAWA

mimi nilisema Ukawa hawatafika mbali nikatukanwa sana humu ndani na bado narudia Mwisho wa Ukawa umewadia soon
 
'm glad UKAWA supporters mtaani kwetu wameanza kujielewa..
Wakiri mabadiliko waliyoyatarajia hayawezi kupatikana katika Chadema yenye nivute nikuvute.
Magufuli ajizolea wafuasi wapya chungu nzima.
Njia ni nyeupe sana kwa Magufuli kuingia ikulu asubuhi..
 
Ukawa wazidi kuwa hoi kabisa kutokana na kudhoofika kwa afya mgombea wao
 
Mgogoro wao utaisha baada ya kutangazwa matokeo ya kiti cha Urais, maana lengo la umoja wao litakua halijatimia na hawatoweza kudumu zaidi ya hapo kwakua kila chama kitataka kujijenga baada ya kupigwa kipigo cha paka mwizi na majemedari wa CCM
 
Hali inazidi kuwa mbaya kila leo ndani ya ukawa.
 

Tumekuelewa but tutampeleka ikulu huyohuyo mgonjwa, huyohuyo fisadi mmoja sababu ccm wamebaki 10 ni heri huyu aliyekataa kuburuzwa, peopleeeeeee'ssss
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…