Hali ni tete; JK kutua Arumeru Jumanne

I PRAY kwamba hatasema yafuatayo
1. Vicent Nyerere sio wa ukoo wa Nyerere
2. Dr. Slaa aliiba fedha za ujio wa Papa John Paul II
3. Watu wa Mara wasituchagulie viongozi, mpuuezeni VN
4. Nassary hana mke, hivyo hafai kuwa mbunge
5. Nassary ni mkorofi tangia UDSM hata baba yake anafahamu
6. Mpeni Kura Sioi ili apate mshahara wa kuhudumia familia ya marehemu Sumari
7. Dr. Slaa alinyang'anya mke mtu
8. Mkiipa kura CCM nitatatua tatizo la ardhi na Maji Arumeru
 
Nilikuwa AR Weekend hii, kweli ccm imebanwa ma****de kwa vice. Kuanzia mjini hadi arumeru ms wananchi wanatoa support kubwa sana kwa cdm.
 
Hatimaye hali imezidi kuwa tete hapa arumeru wakuu imembidi jk mwenyewe aje hapa nkoaranga nyumbani kwa sarakikya kwa gia ya kuzindua vikundi vya kukopeshana wakati mwaka jana vimesha zinduliwa na mkuu wa wilaya na hapa nkoaranga ,kilinga, mulala, sura, kilala, poli, singisi,makumira ndiko chadema inategemeea kupata kura asilimia 90% sasa jk sijui atatuambia nini kwani tunamsubiri na mapango mtaona badala ya kufanya mambo ya muhimu na ameambiwa hali ni tete kweli nyie mlio mbali na arumeru msifanananishe arumeru na igunga hapa patachimbika na mbowe kasema tutakesha usa kuizika ccm jumapili nyie mtaona kama uko mbali tusikilize jk atakuwa eneo la barazani mringaringa

theotim

nawasilisha kutoka nkoaranga meru

Mkuu ni kweli na kunakikao kizito kinaendea usa kwa mkuu wa wilaya ili kujipanga kwa ujio huo ila itakuwa baada ya uchaguzi.
 
basi hapo ndio utaona TISS wanafanya kazi, hivi hawa TISS ni wantanzaia kweli ..................... mungu ikomboe tanzania mara ya pili
 
nimesema kama uko arumeru ndo uzungumze JF so ya kuzungumzia chumbani jamii inakusoama mwana
 
Upendo umepotea, wanajitahidi sana kuleta siasa ya chama kimoja kitu ambacho hakiwezekani tena ktk tanzania ya sasa.
 
Hatimaye hali imezidi kuwa tete hapa arumeru wakuu imembidi jk mwenyewe aje hapa nkoaranga nyumbani kwa sarakikya kwa gia ya kuzindua vikundi vya kukopeshana wakati mwaka jana vimesha zinduliwa na mkuu wa wilaya na hapa nkoaranga ,kilinga, mulala, sura, kilala, poli, singisi,makumira ndiko chadema inategemeea kupata kura asilimia 90% sasa jk sijui atatuambia nini kwani tunamsubiri na mapango mtaona badala ya kufanya mambo ya muhimu na ameambiwa hali ni tete kweli nyie mlio mbali na arumeru msifanananishe arumeru na igunga hapa patachimbika na mbowe kasema tutakesha usa kuizika ccm jumapili nyie mtaona kama uko mbali tusikilize jk atakuwa eneo la barazani mringaringa

theotim

nawasilisha kutoka nkoaranga meru

Wazee wa kuchakachua hawapendi kuambiwa ukweli... Rejao & Co hao....
 
Mimi ningependa JK ndio afunge kampeni za CCM ili wakipigwa mweleka iwe ni clear message kwa 2015.....
 
Back
Top Bottom