Hali ni mbaya Telaviv ukirekodi video unapigwa risasi

Hali ni mbaya Telaviv ukirekodi video unapigwa risasi

Eti Israel ni taifa la Mungu, utapeli mtupu
Kama Israel ni taifa la Mungu mbona lipo top 10 nchi zenye mashoga wengi duniani? Kama Israel ni taifa la Mungu mbona linaua watoto wasio na hatia Gaza? Sasahivi wameanza kuisema Uturuki eti kwamba ndio Iran mpya kwa hiyo wakimaliza kudili na Iran wahamie Uturuki.
Israel ni wapuuzi na matapeli, nchi yao ndio chanzo cha ukosefu wa amani Middle East. Kwani Mungu anapenda vita? Kama kweli Mungu yupo basi dunia nzima ni yake, kwa nini awe mbaguzi na kuichagua Israel
Leo hii duniani kuna nchi nyingi nzuri, strong, powerful, zina watu wazuri zimeendelea kuliko Israel. Huo umungu kwa Israel unatoka wapi
Bora hata wangetudanganya China ndio taifa la Mungu, ingeingia akilini
Israel ni taifa teule la mungu we kalisha makalio hapo ila Kwa ulikua ukiichukia Israel umemchukia mungu
 
Jamaa wamegoma watu wasirekodi kwa kipigo wanachoshushiwa

Imebidi waweke amri ya kuwapiga watu risasi ukionekana ukirekodi

Waliokufa sio mamia tu ni maelfu

Kuanzia wanajeshi hadi raia

The bad thing sahivi maeneo mengi makombora yanapiga tu bila hata siren/kingora kulia

Kuna maeneo Iran anapiga mpaka anafumua mahandaki ya waliojificha hao wasabasi wa kizayuni

Tuliwaonya hamkusikia

Wanapigwa mpaka wanachanganyikiwa

Walidhani Iran ni Gaza
downloadfile-23~2.jpg
Screenshot_20260302-154855~2.jpg
FB_IMG_1772387423561.jpg
1772360248968.jpeg
1772359766457(1).jpeg
1772360244514.jpeg
FB_IMG_1772433305535.jpg
1772359749642(1).jpeg
image-1 (1).jpg
 
Jua kwamba mwisrael hajawahi kushindwa vita yoyote duniani! Tembea na hiyo mindset! Hata hii vita mwisho wa siku Tehran yatabaki magofu tu!! Kwa sababu Mungu wa Israel ni Mungu mkuu! Israel ni taifa lilobarikiwa ukicheza nayo unaenda na maji wewe! Kamuulize Ayatolla khaminei kama unabisha
Maelezo ya mtaalamu wa kitanzania aliepigana vita nyingi ..
Mkuu hope wewe ni mbobevu wa vita hasa ukipigana ndani ya jeshi la Israel.
 
Jua kwamba mwisrael hajawahi kushindwa vita yoyote duniani! Tembea na hiyo mindset! Hata hii vita mwisho wa siku Tehran yatabaki magofu tu!! Kwa sababu Mungu wa Israel ni Mungu mkuu! Israel ni taifa lilobarikiwa ukicheza nayo unaenda na maji wewe! Kamuulize Ayatolla khaminei kama unabisha
Weee tuondolee UPUUZI wa kisabato hapa.
Vita alizoshindwa ISRAEL.
1.Yomkippur war 1973.
2.Israel -Lebanese War 2006.
3.June war 2025.

Peleka usabato wako kanisani sio humu.
 
Mbona taarifa za Iran huzileti hapa!! Unakuja na taarifa za kusadikika!! Tupe na source ya taarifa yako!! Maana naona aljazeera muda wote wametega telviv ila Tehran sioni!! Hawa jamaa ni very bias sana! Kama chanzo chako cha taarifa ndo hao aljazeera umefeli!! Taarifa za uhakika fuatilia CNN, FOXY uone jinsi hizo sehemu zote zinavyochezea kipigo
Nikupe source who are you? Kwani kichwa chako hakina akili hata kujua namna ya kuverify news za mtandaoni? Kama ubongo wako hauwez kuverify news mtandaoni hata kugoogle basi tumia hata Grok,chatgpt au meta AI kuverify habari
 
Kwanini Vita ni Technology
Na Iran ndio Bingwa w Technology

Twende pamoja
zile Drone za Shahed za Iran zipo tofaut zenyewe sio inashambulia tu lkn inasoma na ramani za kujilinda Adui !!

ndiomana zinaogopwa zaid kufikia maeneo muhimu ya Kijesh

tuliona kwenye promise No1 na no2 kwanza ni Drone zilienda kwa Adui kisha tukaona Makombora mazito yakienda kwenye Target zake.

Mpaka sasa ipo ivyo ivyo manake Israel kashindwa kutafuta mbinu za kuchomoka kitechnology

mbinu ya Kitechnology ya Israel kuelekea Iran Mimi na team yangu ya kufatilia Vita
tuliamini hivi!!!

Vita ya kwanza kushambuliwa Iran na ile ya pili ya siku 12 ikasimama kwa Trump kurusha taulo tulijua mchezo wa Israel kufanya Iran itumie nguvu kubwa kujibu
mashambulizi baada ya apo wasimamishe Vita lengo kuu kuyapitia Makombora ya Iran

kwaiyo itakuwa Israel iliandaa mpango mkubwa wa wajuzi wa Kitechnology kuyapitia Mabaki ya Makombora ili waboreshe mitambo yao ya kujilinda yani Air Defense system
Hii
ata Russia uwa anafanya kupitia Technology iliotumika kutafuta tiba yake💊

Yaonekana Iran kausoma mchezo pale pale Iran ilidai imetumia zagazaga za miaka mingi nyuma kuitwanga Israel

wkt Waisrael wameamini kwa kuwaua gafra wakubwa wengi wa Jeshi wa Iran na kutangaza nia ya kuangusha Utawala wa Iran lazima Iran itumie Makombora ya teknolojia kubwa kupiga kwao Israel.

So kwenye Vita hiiii ni wazi Iran ndio imewin mana bado Makombora yao yameshindikana kuzuiwa. Miji ya Israel inateketea Vibaya.

Marekani kashaanza kuogopa hii Vita TRUMP kawa mgonjwa kwa muonekanowake tu.
Njia pekee kwake ana budi kuondosha vikwazo kwa Russia ili Russia kumshawishi Iran kusitisha Vita.
Ili kuiponya Israel iliokwenye mdomo wa Iran. Kwasasa inatafunwa tu!!

Nato wamekunja mkia wanachokiona kitechnology kimewatisha
wakisubutu tu Anga la Ulaya linaenda Fungwa kama Middle East

Na tayali wapo kwenye mkwamo wa Uchumi kutokana na Vikwazo vyao kwa Russia!!
kukuwa kwa Viwanda vya China

Itakuwa ni kosa kubwa Ulaya kujichomeka kwenye Vita ivi vya Iran kwasasa✍️
 
Jua kwamba mwisrael hajawahi kushindwa vita yoyote duniani! Tembea na hiyo mindset! Hata hii vita mwisho wa siku Tehran yatabaki magofu tu!! Kwa sababu Mungu wa Israel ni Mungu mkuu! Israel ni taifa lilobarikiwa ukicheza nayo unaenda na maji wewe! Kamuulize Ayatolla khaminei kama unabisha
Mbona 2006 alishindwa

Vita vya june 2026 pia alipigwa mpaka akaomba ceasefire

Akili zako zimejazwa matope na ujinga na ufia dini

Pole sana Goym....wewe mbele ya jews huna thamani kabisa

Screenshot_20260308-045347_Chrome.jpg
 
Kwanini Vita ni Technology
Na Iran ndio Bingwa w Technology

Twende pamoja
zile Drone za Shahed za Iran zipo tofaut zenyewe sio inashambulia tu lkn inasoma na ramani za kujilinda Adui !!

ndiomana zinaogopwa zaid kufikia maeneo muhimu ya Kijesh

tuliona kwenye promise No1 na no2 kwanza ni Drone zilienda kwa Adui kisha tukaona Makombora mazito yakienda kwenye Target zake.

Mpaka sasa ipo ivyo ivyo manake Israel kashindwa kutafuta mbinu za kuchomoka kitechnology

mbinu ya Kitechnology ya Israel kuelekea Iran Mimi na team yangu ya kufatilia Vita
tuliamini hivi!!!

Vita ya kwanza kushambuliwa Iran na ile ya pili ya siku 12 ikasimama kwa Trump kurusha taulo tulijua mchezo wa Israel kufanya Iran itumie nguvu kubwa kujibu
mashambulizi baada ya apo wasimamishe Vita lengo kuu kuyapitia Makombora ya Iran

kwaiyo itakuwa Israel iliandaa mpango mkubwa wa wajuzi wa Kitechnology kuyapitia Mabaki ya Makombora ili waboreshe mitambo yao ya kujilinda yani Air Defense system
Hii
ata Russia uwa anafanya kupitia Technology iliotumika kutafuta tiba yake

Yaonekana Iran kausoma mchezo pale pale Iran ilidai imetumia zagazaga za miaka mingi nyuma kuitwanga Israel

wkt Waisrael wameamini kwa kuwaua gafra wakubwa wengi wa Jeshi wa Iran na kutangaza nia ya kuangusha Utawala wa Iran lazima Iran itumie Makombora ya teknolojia kubwa kupiga kwao Israel.

So kwenye Vita hiiii ni wazi Iran ndio imewin mana bado Makombora yao yameshindikana kuzuiwa. Miji ya Israel inateketea Vibaya.

Marekani kashaanza kuogopa hii Vita TRUMP kawa mgonjwa kwa muonekanowake tu.
Njia pekee kwake ana budi kuondosha vikwazo kwa Russia ili Russia kumshawishi Iran kusitisha Vita.
Ili kuiponya Israel iliokwenye mdomo wa Iran. Kwasasa inatafunwa tu!!

Nato wamekunja mkia wanachokiona kitechnology kimewatisha
wakisubutu tu Anga la Ulaya linaenda Fungwa kama Middle East

Na tayali wapo kwenye mkwamo wa Uchumi kutokana na Vikwazo vyao kwa Russia!!
kukuwa kwa Viwanda vya China

Itakuwa ni kosa kubwa Ulaya kujichomeka kwenye Vita ivi vya Iran kwasasa
Wameyatimba wanapigwa mpaka wachanganyikiwe
 
Tel Aviv hali si shwari..

Japo Iran nayo inakula vyuma lakini hakuna mtu alitegemea wayahudi kuna siku wataishi kama kasongo ama digidigi..

Mungu awatie ulinzi watoto wadogo, maana hii vita hawajui chochote, Trump na Netanyahu ni mashetani, walikuwa hawana haja kuanzisha hii vita.
Kusema hakuna mtu alitarajia Wayahudi pale Israel wataishi hivi ni uongo, kama hakuna aliyetarajia alijidanganya maana wao walijua fika na walijipanga. Israel kila nyumba ya kuishi, apartments zote na mahoteli, na viwandani kote kuna bomb shelters.

Ni sawa na kusema hakuna mtu alitarajia kama wakazi wa Masaki watakuwa wanaoga wakati kila nyumba ina bafu.
 
Jamaa wamegoma watu wasirekodi kwa kipigo wanachoshushiwa

Imebidi waweke amri ya kuwapiga watu risasi ukionekana ukirekodi

Waliokufa sio mamia tu ni maelfu

Kuanzia wanajeshi hadi raia

The bad thing sahivi maeneo mengi makombora yanapiga tu bila hata siren/kingora kulia

Kuna maeneo Iran anapiga mpaka anafumua mahandaki ya waliojificha hao wasabasi wa kizayuni

Tuliwaonya hamkusikia

Wanapigwa mpaka wanachanganyikiwa

Walidhani Iran ni Gaza
Israel inatakiwa ifutwe yote maana inanuka mavi,watu wanaphilana dhairi muda wote!!
 
Umeharibu ulipoingiza ulokole, wale ni binadamu kama wengine huzaliwa na kufa, habari za kubarikiwa hata japani NAO watasemaje china NAO wana nani NAO utasrmaje tunatakuona na kusikia taarifa na sio malumbanono ya kidini. Hii vita sio ya kidini bakini na dini zenu.
Yote hayo ndani yake Kuna dini! Ndo maana mfadhili mkuu wa makundi ya kigaidi ayatolla anaitwa mkuu wa kidini Iran! Na hao magaidi wote ni waislam unasemaje sio vita ya kidini??
 
Israel inatakiwa ifutwe yote maana inanuka mavi,watu wanaphilana dhairi muda wote!!
Israel haiwezi kufutwa kwa sababu ni taifa la Mungu, ukicheza na Israel unacheza na kifo chako! Ukibisha kawaulize Hamasa, hezibollar pamoja na ayatolla knamei
 
Nikupe source who are you? Kwani kichwa chako hakina akili hata kujua namna ya kuverify news za mtandaoni? Kama ubongo wako hauwez kuverify news mtandaoni hata kugoogle basi tumia hata Grok,chatgpt au meta AI kuverify habari
Ndo maana kumbe unatuletea Habari ambazo hazina uhakika kama vyanzo vyako vya Habari ndo hivyo ulivyovitajq hapo
 
Back
Top Bottom