Hali mbaya UKAWA


Katika hilo hali ni mbaya sana chadema katika uchaguzi huu na kuna hatari kubwa sana ya kupoteza majimbo mengi kama mwandishi alivyosema.Chama kinachoshika dola kwa sasa uwezekano wa kushinda majimbo mengi ni mkubwa sana hata zaidi ya hapo awali.
 
Magamba wajinga sana. Mnadhani tumesahau jinsi wabunge wenu walivyozoea ndiyooo.... Then tutawakumbusha wakati wa mchakato wenu, nn kilitokea...maana rushwa ilikuwa nje nje na mkalalamikiana wenyewe kwa wenyewe... sasa leo mnataka kutuambia nini..??? kmnina
 
Kama haya uliyoandika umetumwa basi aliyekutuma akili hana kabisa, lakini kama ni utashi wako basi malizia mwenyewe. Tumechoka kujaziwa ujinga jukwaani
 
Tatizo la vijana wa bavicha mkiambiwa ukweli bado mnakuwa wagumu sana kuelewa, ondoeni ushabiki, angalieni hali ilivo kwa umakini mtagundua kama mwandishi yupo sahihi na taarifa yake. Kule serengeti Mosena kaja juu hali kadhalika jimbo la Vunjo napo hali sio nzuri, bado mnakuwa wabishi!
 
lacuna

Hakika historia ya chadema inaenda kupotea, uongozi umeyumba hii ikiwa ni kutokana na namna chama kilivopoteza mwelekeo. Viongozi wandamizi wamekubali kutanguliza tamaa ya feza kutoka kwa mzee, chama kimekosa dira na kila pande ya Tanzania ni migogoro tele.
 
Last edited by a moderator:
Uwezekano ni mdogo sana kwa chama hiki kupata majimbo hata waliyokuwa wakiongoza, CCM inaonekana imejipanga vizuri sana na mikakati yake ni mizito katika kuhakikisha kinashika dora na kuongoza viti vya ubunge.
 
Naona leo magambamasho....ga mmeamua leo
mna post habari fiksi fksi tu
 
Duh...mimeamini ukiwa ccm wewe ni mzigo kwa taifa..bora libya ije tu kama magufuli alivyosema tupunguzi hii mizigo..

Weka ushabiki wa kisiasa pembeni usiombe kitu kama hicho. Yakitokea kama yaliyotokea Libya, wewe utapona?
 
Wameuza chama kwa maumvi bei poa je? Wakija mizungu na mihela yao si wanatuuza watz kura yangu kwa magufuli tu
 
Hahaaa. Jamaa kaandika Topic yake kisha akakimbia kujificha kwenye choo cha makuti ambacho kina kopo lenye kutu. Hii nchi ina watu wa ajabu sana. Washukuru mungu amewaletea UKAWA Neema tutaziona karibuni.
 
Kuna upuuzi mwingine hata mpuuzi hawezi kuandika upuuzi kama huu

Nasikia ilikuwa kauli mbiu ya CCM ya kuwapa watanzania elimu mbovu ikiwa ni pamoja na kufuta somo la siasa shuleni ili uwe mtaji kwao kuendelea kukaa madarakani
 

Kachukua posho Lumumba
 
Tehteh.....id maalumu kwa kazi maalumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…