ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 44,967
- 51,796
Wananchi walazimika kuvuta Gari lililokwama kwenye tope kwenye Barabara inayoungamisha Mkoa wa Njombe na Mbeya Kupitia Makete na Hifadhi ya Taifa ya Kitulo.ππ
Barabara mbovu za aina hii zimetapakaa Kila Kona ya Tanzania lakini Serikali inajenga Dar na Dodoma huku ikiendelea kumwaga pesa kwenye vipaombele ambavyo havisaidii uchumi wa watu wengi kama Sgr,matanki ya Mafuta na miradi mingine kama hiyo mfano masoko ya Gorofa ,stendi za bei mbaya etc.
My Take
Viongozi wa Nchi hii Wana matatizo sana ya kupanga kipi kianze Kwa wakati upi na kipi kifuate.
πππ Kusini Kwa Waziri Mkuu ππ
View: https://www.instagram.com/p/C36yQwrqgj5/?igsh=MXR2dDd6eWV1MjgxYQ==