Wanawake wa TKibongo wengi wao nyuso zao hazina mvuto wa kike wapo kama vile wanaume ukinagalia nywelezao wengi ni choko chore kinacho wasaidia ni hizo nywele za bandia isipokuwa ukiangalia kutoka shingoni hadi chini wanamvutio wa kupendeza na wakipekee katika East africa
Though na mimi kama wewe tu, nimefika kazini kitu cha kwanza kutumia company resources kuja Jf. Labda mtaa unaokaa mkuu. Jaribu kubadili mazingira na utembee...karibu mtaani kwetu nakuahidi utabadili msimamo wako (r u kidding?)
Wanawake wa TKibongo wengi wao nyuso zao hazina mvuto wa kike wapo kama vile wanaume ukinagalia nywelezao wengi ni choko chore kinacho wasaidia ni hizo nywele za bandia isipokuwa ukiangalia kutoka shingoni hadi chini wanamvutio wa kupendeza na wakipekee katika East africa
khaa mkuu wewe mgeni tz hii au waweza ukawa ukawa umekuja juzi tu toka MBWAMBWASI hahaa bongo noma wewe, kuna watoto wamebarikiwa si mchezo. Hii nchi ina kila kitu yakhe!
Mnawakana mama zenu na dada zenu, kama hawa wanawake ambao ni mama zanu wananyuso za ngumi basi wewe utakuwa nazo hizo hizo maana mmetoka kwenye udongo huo huo!
Falcon, (as your name migrant bird) mwombe Mungu radhi, na uulaani uongozi mbovu, hebu fikiria TAABU NA DHIKI Tz ilizopitia tangu mwaka 1967, dawa shida, vyakula shida, elimu tabu, ujue hayo yote madhara yake ni kwamba watoto watakaozaliwa maumbile yao yatakuwa hovyo.... uelewa wao utakuwa duni, afya mbovu. Ila kama wewe ni mmojawapo wa watakatifu wa magogoni hutakubaliana na mimi.