Aisee kweli kabisa ,ana wasaidizi wazuri si unaona 2.4 tilioni ilivyoporwa ,korosho ilivyonunuliwa ,alivyoajiri toka 2015 , anavyotoa mikopo ya elimu ya juu ,watu wanavyotekwa , uawa , fungwa kwenye viroba , wanavgopigwa risasi , na maisha yalivyokuwa magumu na kuongezeka umaskini na ufukara ndani ya miaka yake mitatu .