Halafu mafanikio yako watu wayachezee...

Ila kuna watoto wanasomaga katika hali ngumu kweli!!!
 
Hayo maisha hata mie nimeyapitia sana tangu primary hadi form six!
Nakumbuka kwenye prep ya mwishomwisho wakati wa pepa la6 kule bombi nyumbi huku mvua kali ikiambatana na radi na upepo mkali! Nakumbuka nilivyojificha kwenye uvungu wa kiti kuhofia radi!
Haya maisha siyo kabisa, serikali jamani jitahdini mboreshe huduma ya elimu jamani watoto wa taifa hili tunasoma ktk mazingira duni sana na bado future yetu ni kizungumkuti.
 
Halafu wengine wanaiba/wananunua mitihani, aisee
 
mwisho wa siku nyumbani panabaki pamepauka zaidi ya hapo...mafanikio yote anamuhonga hawara au dem tu magari na nyumba na kujisifia kwenye fb na whatsup"this is for my baby"

By ney wa mitego "this is for my baby"
 
Halafu unakuta jitu limeelimika katika njia hii na mwisho limekabidhi akili kwenye chama halisikii wala kuona na kuhoji mambo bora kavikwa vazi la chama basi elimu haina nafasi tena!!!

Hebu tuliojaaliwa kusoma tuwe objective sasa!!!!
 
Na tena hawa wa sampuli hii ndio wanakuaga na itikadi kali bila hata ku analyse kwa kina mwelekeo wa itikadi zao.
 
Na tena hawa wa sampuli hii ndio wanakuaga na itikadi kali bila hata ku analyse kwa kina mwelekeo wa itikadi zao.

Ndio wanasumbua humu na ajira zilivyobana basi siasa na vyama inakuwa kama dini kwake!!!!
 
Kiongoz ulijificha chin ya kit au chini ya meza!manake najaribu angalia kit kilivyo sipati picha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…