Hala hala madereva weekend hii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hala hala madereva weekend hii

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by BADILI TABIA, Mar 23, 2012.

 1. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #1
  Mar 23, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  kautafiti kangu(sitaki kuulizwa kuhusu data nk) kamebaini kuwa jumamosi na kipindi hiki cha mpito kuelekea sikukuu..............

  Utasimamishwa na tra waangalie kama umelipa ushuru...
  Utapigwa mkono na trafiki acheki triangle na kadi....

  Kuna vehicle inspecta lazima wafanye kazi yao....

  Kuna hawa nikiwaona juzi maeneo ya bendera tatu mpaka nikashangaa.....nikauliza nikaambiwa wanacheki fire extingusher....


  Na sio guarantii ukisimamishwa kona hii ukifika kona ile hutosimamishwa......

  BADILI TABIA anawaomba mpande daladala na hiyo hela ya fine/takrima mkanywee beer jioni muongeze vitambi....

  Weekend njema....drink beer save water.....
   
 2. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #2
  Mar 23, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Vigezo na Masharti Kuzingatiwa
   
 3. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #3
  Mar 23, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  umeona enheee tena wakishajua huna ile sticker ya airtel utajuta..
   
 4. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #4
  Mar 23, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  hao mie ndo hata siwaelewi...kuna umuhimu wa kununua road traffic act kuona kama wanaruhusiwa kisheria,.....

  Hao wa tra na tai zao nao ni kero...
   
 5. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #5
  Mar 23, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  absolutely, kunywa beer ujenge heshima loh!!!!!!
   
Loading...