Mpaka Kieleweke
JF-Expert Member
- Feb 27, 2007
- 4,132
- 1,580
Kwa mujibu wa tangazo la tume ya taifa ya uchaguzi lililochapishwa leo kwenye gazeti la Mwananchi ktk ukurasa wa 38 ni kuwa Tume imetangaza rasmi hakutakuwa na kampeni kwenye uchaguzi wa kata nne za Arusha ambao utafanyika tarehe 30.06.2013 , tangazo hili limetolewa na Mkurugenzi wa Uchaguzi Taifa.
sehemu imesomeka, ' Tume inachukua nafasi hii kufafanua na kusisitiza kuwa kwa kuwa uahirishwaji huo ulifanyika siku ya uchaguzi na baada ya kufungwa kwa kampeni kwa ajili ya uchaguzi mdogo,basi hakutakuwa na kampeni kwa ajili ya uchaguzi huo mdogo katika kata hizo nne za Jiji la Arusha .Lililobaki ni kupiga kura tu siku ya tarehe 30.06.2013.
Nawasilisha .