Kwa DFP inaruhusiwa kwa sababu kibao kimeandikwa kwa maandishi mekundu.......DFP ndo wanaotujengea barabara kwanini asiruhusiwe kupaki....
DFP---Donor's Funded Projects

DFP hiyo inadeal na kilimo, ina maana hizo road signs zina exception au?! kisa eti ni maandishi mekundu?!!! kwa hiyo hata ya "no right/left turn" one way na zinginezo ambazo ni za maandishi mekundu, DFP ruksa kutoziheshimu?? with your notion naamini hata ukiwa una gari la UN kenya (red plate-number) usitii alama ?? ..teeeh, kwa staili hiyo mtu unajitengenezea vibao vyekundu unafanya utakalo barabarani.
Inawezekana hakuwa amepaki kwani hii picha ni static na yawezekana picha ilipigwa wakati gari liko kwenye mwendo. Kama alikuwa alepaki basi tatizo kubwa la dreve ni wrong or weak coordination kati ya ubongo na macho ya dreva!