Hakuna usafiri mbovu kama wa dar express

  • Thread starter Thread starter guest-1793102819
  • Start date Start date
G

guest-1793102819

Guest
Magari yanayopita njia ya marangu, yani dar express yana usumbufu mkubwa sana yanafaulisha abiria mpaka kero, yani basi la kwanza linasubiri mabas yote stendi ya njia panda zaid ya lisaa nawashauri kwa wale mnaotumia njia ya marangu, mwika, rombo muwe makini sana na dar express lengo sio kumchafua kibiashara ila ajirikebishe,
 
Huko mwika mnalazimishwa kupanda hilo basi ukiona lina shida panda lingine ambalo halina tatizo...wapinzani wake mnaanza kuanzishiana nyuzi za kuchafuana...
 
Dar express ya Dar - Nairobi.

Hakuna gari inakimbika upande wa Kaskazini kama ile.

Ila magari mengi yamechoka, huyu mzee anunue mabasi mapya.

Brand is everything.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haujaiona Meridian wewe! Babu lake babu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…