MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 7,278
- 13,680
Hii ni mupya😁😁😁😁👍👍Ndugu Watanzania, Urais ni ngazi ya juu kabisa ya uongozi Tanzania, mtu anatakiwa kuishindania, lazima kujua ana maono na nia gani kwa Taifa, hakuna Urais wa viti Maalum, CCM wanatakiwa warudi kwenye Ground zero.
Aliyewahi kumsikia Samia anasema ana maono gani na Hili Taifa aweke hapa, hata michango yake ya Bungeni au hata alivyokuwa mjumbe wa Tume ya Katiba
Mtafanyaje?Watanganyika hatukubali kuwa mkononi mwa sultan
Muda utaongeaMtafanyaje?
Tumeona maono yake kwa hili Taifa kwa vitendo vyake. Maono yake tuliyoyaona ni kuuza maliasili zote muhimu za Tanganyika, huduma mbovu za umeme, maji, afya, elimu. Kuondoa elimu bure.Ndugu Watanzania, Urais ni ngazi ya juu kabisa ya uongozi Tanzania, mtu anatakiwa kuishindania, lazima kujua ana maono na nia gani kwa Taifa, hakuna Urais wa viti Maalum, CCM wanatakiwa warudi kwenye Ground zero.
Aliyewahi kumsikia Samia anasema ana maono gani na Hili Taifa aweke hapa, hata michango yake ya Bungeni au hata alivyokuwa mjumbe wa Tume ya Katiba
🤣 🤣 🤣 🤣Tumeona maono yake kwa hili Taifa kwa vitendo vyake. Maono yake tuliyoyaona ni kuuza maliasili zote muhimu za Tanganyika, huduma mbovu za umeme, maji, afya, elimu. Kuondoa elimu bure.
Kuongeza kodi, tozo, teuzi za hovyo, ku- promote ufisadi, wizi, utekaji, ulawiti, utesaji, kuondoa uwajibikaji, kufungia upinzani wowote, maoni yoyote tofauti popote Tanzania ndani na nje ya CCM.
Huo ulianza lini na wapi?Ndugu Watanzania, Urais ni ngazi ya juu kabisa ya uongozi Tanzania, mtu anatakiwa kuishindania, lazima kujua ana maono na nia gani kwa Taifa, hakuna Urais wa viti Maalum, CCM wanatakiwa warudi kwenye Ground zero.
Aliyewahi kumsikia Samia anasema ana maono gani na Hili Taifa aweke hapa, hata michango yake ya Bungeni au hata alivyokuwa mjumbe wa Tume ya Katiba