KALITHERMAL
Member
- Aug 22, 2013
- 81
- 8
Wakuu,
nataka internet ya bei poa,nimekuwa natumia hizo internet za mitandao lakini zinazisumbua tu
Wakuu,
nataka internet ya bei poa,nimekuwa natumia hizo internet za mitandao lakini zinazisumbua tu
Wakuu,
nataka internet ya bei poa,nimekuwa natumia hizo internet za mitandao lakini zinazisumbua tu
mwlrct.blogspot.com
[URL]https://www.jamiiforums.com/matangazo-madogo/501756-jipatie-pd-proxy-premium-account.html[/URL]
Hapa nipenda njunwa ulivyo malizia.This price means alot
No hidden fees
No VAT
Free 24/7 customer support in any technology field e.g Rooting phones,Unlocking modem,Online orders,Free Tricks
More than 1 network provider supported
Wakuu,
nataka internet ya bei poa,nimekuwa natumia hizo internet za mitandao lakini zinazisumbua tu
kwann msiwe na viwango sawa kama wafanyabiashara???.. hehe njunwa umepatikana kijana.. then chek pm kidogo
In short hiyo PM ni kuhusu TIGO tigo iko hewani kwa Port 110 na 5190 lkn Inaitaji Tweaks za DNS server kwenye Control pANEL
In short siwez kumwambia mtu eti tuwe na BEI moja mbona Kariakoo Laptop ya Acer 475,000/- lkn mtu anaifuata Mlimani City kwa 600,000/-
Mbona munjy1 alishusha hadi 9500/- lkn mm nikabakiza 15,000/ kwa beginner but still waeja walionjey what they get from me
Sijaelewa bado unaposema free internet au 15,000 unlimited internet kwa mwezi unakuwa unatumia newtwork gani kupata hiyo internet??
Hii internet inatumia modem au ? ina maana sitatumia network za mobile companies kabisa?
Hiyo hapo kwenye red haipo kabisa
Unlimited Internet kwa sasa nauza 10,000/=
Kupitia VPN hizi Pd Proxy,SandwichVPN,MeteorVPN
Bei ya Android kwa TroidVPN(ice cream sandwich,Jellbean and KitKat only) ni 8000/- in RESPECT of the FOUNDER if not a Pioneer Mr.Paje
Kwa DroidVPN bei 12,000/= works for all android versions
Nikisema Free Internet namaanisha NEVER pay money to Your ISP but pay for VPN servers
No hidden Fees
No VAT
24Hours money Back Guarantee
NIGERIANS MOTTO
Ina maana namtumia Mob company* kama pipe hata kama sina credit naye kufikia pd proxy sio? Je kuna limitation ya speed au? Sasa kuna kuchagua hardware yeyote utanipa kama modem au?
Modem unatumia yako uliyonayo waweza nicheki 0657209956
No SPEED CAPPING no SPEED LIMITATION
Karibu sana ufaidi HUDUMA NZURI kutoka kwa njunwa wamavoko
Soma hapa CHINI kwa maelezo zaidi
https://www.jamiiforums.com/matangazo-madogo/447079-unlimited-internet-inauzwa-kwa-mwezi-mzima-sh-10-000-tu.html
KAMA HAUAMINI NAWEZA KUKUPITISHA HAPA CHINI KWANZA
https://www.jamiiforums.com/tech-ga...ith-a-magic-sim-card-no-payment-required.html
SO TO SAY 2 DAYS MONEY BACK GUARANTEE
Naona "Member" unataka internet unlimited ya bei rahisi
Utaipata hapa kwa njunwa wamavoko the great kwa BEI ya sh. 10,000/=
This price means alot
No hidden fees
No VAT
Free 24/7 customer support in any technology field e.g Rooting phones,Unlocking modem,Online orders,Free Tricks
More than 1 network provider supported
Contacts:0657209956
Mkuu nitaweza kutumia kwenye iPad hii huduma yako?
Sikutozi hela maelezo nilishaaandaliwa na BOSI mm nimerekebisha tu ya-FIT nchi yetu
https://docs.google.com/document/d/1...it?usp=sharing
Inggia Hiyo link faatisha ukikwama niulize hata kwa PM username na Passwd ntakupa Bure kwa majaribio
Ukifanikisha utanambia
Mkuu, hii ni ya android