Hakuna umeme kanda ya kusini

Hakuna umeme kanda ya kusini

KITA

Member
Joined
Jan 3, 2015
Posts
20
Reaction score
5
Tanesco Wamekufa. Kuanzia Sao Hill hakuna umeme hadi Tunduma.

Transforma kubwa imekufa. Kiwanda cha Saruji Mbeya kimesimamisha uzalishaji.

Je, ni RIHESO ya kuelekea uchaguzi mkuu?

Naipenda Tanzania.
 
Transforma kubwa imeungua mgololo leo asubuhi.
 
Back
Top Bottom