Hakuna ukweli

Salum Sanane

Member
Joined
Apr 14, 2013
Posts
30
Reaction score
4
Udanganyifu sasa umekuwa ni jambo la kawaida,hasa katika suala la ndoa. Wanawake wengi hufunga ndoa za uongo ili kutimiza malengo yake.
Baada ya kupata kile anachohitaji huanza vituko na migogoro ili mwanaume ashindwe.
Kina mama naomba muwe waadilifu.
 
He!.....miaka ya kuishi siku hizi mwisho 22.....tugandane ili iweje.......
 
He!.....miaka ya kuishi siku hizi mwisho 22.....tugandane ili iweje.......

Nenda katafute ukimwi mamaaa, ukiupata ndo utajuwa nini maana ya kugandana!, teh! teh! teh!
 
Anaefanya hivyo basi hajui nini maana ya ndoa.

Nikirudi kwenye point,mwanamke mwenye tabia hiyo huenda katoka kwenye familia yenye udhaifu fulani na alipo mpata mwanaume mwenye uwezo fulani basi anaanza tabia mbovu, na usiombe ukawa umezaa nae Ahahaha Hapo ndipo utakapo kijua kizungu.
 

anayeanzisha migogoro ni yule tayari ameshakuwa na mtoto 1 ama wawili
 
ni sahihi.suala la uaminifu ni tatizo kwenye ndoa nyingi na hasa kwa wanawake
 
kuliko kuletewa na mwanaume ndani ni bora nikatafute mwenyewe

umeona eeee!wao wanawekeza bar zote,na kona zote za jijji
mwanamke utakaa kusubiri nini,bora usepe kitaeleweka
mbeleni!!hahaaaa!
 

Nafikiri imefikia kipindi watu tunatakiwa kuwa na jibu moja tu, either kukubali kuoa/kuolewa au kubaki single! Haya mambo ya ngoja nioe/niolewe nione ndoa ina ladha gani ndiyo husababisha migogoro na kuifanya ndoa iwahi kueksipaya! Naichukia sina hii hali, basi tu ...
 

Tunasubiri mfano kwako shem kama kitaeleweka utujuze jamani tufate nyayo hahaaa!!!
 
Ndoa ndoano anayependa aolewe ili aone uhondo wa ngoma tusitupiane lawama bure kila mwanamke anajua yanayomsibu kwenye maisha ya ndoa msijifanye kujua na kukosoana wanawake msitafute sifa huku mnakufa na tai shingoni.
 
Yani tumeketana na meno tumeshaota leo ni upumbavu tu uongo mwingi kama vipi ndoa ivunjike tu yani moyo uwe rehani khaa .
 
Unaweza ukatulia na mume akakuletea ukimwi hapo ndani!
tena wakuletewa unauma na unaua fasta halafu ARV zinagoma kufanya kazi mi bora niutafute mwenyewe
ha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…