Hakuna ujinga/upumbavu mtupu

MIXOLOGIST

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2016
Posts
15,926
Reaction score
40,255
Habari wana JF

Nawaza tu kwa maandishi,

ujinga au upumbavu wa mtu mmoja ni uwerevu kwa mwingine,

one man's trash is another man's treasure,

kosa la mwanafunzi kwenye mtihani mmoja ni jibu kwenye mtihani mwingine,

demu aliaachwa na boya mmoja ni mke wa mtu mwingine,

...................................................................................

povu linaruhusiwa
 
Hukawii kusema natamani Uhuru K angekuwa Rais wa Tanganyika.

Hahahahahah...

Utaratibu ni ule ule: Wakenya wanayao nao ya moyoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…