Hakuna ufisadi wowote katika Mkataba kati ya LUGUMI na Jeshi la Polisi

bigonzo

JF-Expert Member
Feb 23, 2016
2,914
2,253
WanaJF,

Mkataba kati ya Lugumi na Jeshi la Polisi ni halali na hakuna ufisadi wowote vifaa vilivyoagizwa na Lugumi vimechelewa kufika nchini kutokana na kampuni inayovitengeneza kuchelewa kumaliza kazi hiyo kwa wakati.
By September mwaka huu vifaa vyote vitakuwa vimefika na kupelekwa kunakohusika Watanzania wenzangu.

Acheni kueneza uongo na chuki kwa jamii tuwe Wazalendo kwa nchi yetu hizi propaganda zinazoenezwa na UKAWA ili kuiyumbisha serikali ya awamu ya tano tuzikatae kwa nguvu zote.
 
No wonder hii nchi ni masikini huku wachache wakiishi kama wako peponi!
Nyie UKAWA nyie tumeshawajua propaganda zenu za kuyumbisha serikali..mlianza na january sasa hivi mmekuja na hii hebu acheni uongo wenu tejenge nchi yetu
 
569.jpg

hapa kazi tu:D
 
Dah njaa mbaya yani unajitokeza kiota ukawa wakati hilo ni swala la kitaifa... Dah
 
kweli mafisadi wana nguvu, mmehangaika weee kuyasahaulisha, mikataba mmeibadilishia njia angani, iende kusiko stahili, jamaa mmemtorosha, baada ya kuona kina Mhando wameshinda kesi mkaamua kuja style hii ili lugumi nae kama kuna mashtaka apelekwe halafu ashinde..mweee muwe na huruma na walala hoi eti.
 
Back
Top Bottom