Hakuna tatizo la ajira Tz

Hakuna tatizo la ajira Tz

FAIRATTORNEY

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2013
Posts
219
Reaction score
61
Leo serikali yetu sikivu imetoa tamko maridhawa kabisa, kwamba hakuna tatizo la ajira hapa nchini mikazi na mifursa kibao.

Ni kwamba tatizo linakuzwa tu na wanasiasa kwa maslahi yao binafsi na vijana wote mnaotapatapa mitaani ni wambea tu.
 
Back
Top Bottom