Kuna simu nilinunua kwenye kampuni moja ya simu ni original lakini nikaichokonoa nakujikuta nafuta IMEI number nikaipeleka kwa fundi akai-repair kwa kuweka IMEI mpya lakini ilivyoanza hii issue nikiulizia Imei ile ikawa haitambuliki juzi kati nikairudisha tena kwa fundi sasa makosa aliyofanya ameirudisha IMEI no.1 ile original akaiacha ile ya pili sasa leo ile line no.2 wameizima