Hakuna penzi tamu kama la milele.

Hakuna penzi tamu kama la milele.

other wise

New Member
Joined
Mar 11, 2015
Posts
2
Reaction score
0
Amani iwe nanyi wanajamii. Hivi Eti wapendwa wenzangu wanajamii hivi Eti utafanyaje unatoka nyumbani kwako asubuhi kwenda kazini mlango ulikuwa umeufunga ukirudi unakuta uko wazi na una uhakika ulikuwa umeufunga.
 
Hatuja elewa vizuri wakati huo unauacha mlango au unafunga upo na familia au bainisha vizur bana
 
kama ni nyumba ya kupanga Kalipe kodi ya watu!
 
Hivi wewe unafikir nimejiskiaje kusoma title ya penzi la milele halafu ndani nakutana na milango sjui mapadlock....😱
 
Sisiemu acheni kuharibu vijana...

Ona huyu anavoweweseka na kupanic
 
Amani iwe nanyi wanajamii. Hivi Eti wapendwa wenzangu wanajamii hivi Eti utafanyaje unatoka nyumbani kwako asubuhi kwenda kazini mlango ulikuwa umeufunga ukirudi unakuta uko wazi na una uhakika ulikuwa umeufunga.

aisee bange ya kuvutia chooni ni mbaya sana
 
Na alaaniwe alie ruhusu uuzwaji wa viroba aiseeee.....
 
Itabidi urudi tena kazini ili ujifunge maana unakuonea aibu kukupa penzi la milele
 
***** .....................................................................
 
Back
Top Bottom