Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,789
- 218,431
Ni kweli kushabikia CCM lazima uwe una matatizo kichwani kwa sababu CCM sio kilabu cha michezo. Washabiki wapo kwenye vilabu vya michezo.Ni ukweli mtupu, Unions mtu anashabikia CCM huyo kichwani ni mkiwa.
Sikujua kama wewe jamaa ni mchumia tumbo kiasi hicho , hivi yale matusi yaliyoporomoshwa Kagera ndio maamuzi yanayogusa wananchi yale ?Ni kweli kushabikia CCM lazima uwe una matatizo kichwani kwa sababu CCM sio kilabu cha michezo. Washabiki wapo kwenye vilabu vya michezo.
CCM ni chama cha siasa ambacho maamuzi yake yanagusa wananchi moja kwa moja.
Uongo utakusaidia nini ?Lembeli alihama CCM baada ya Mmiliki wa Super market za Imalaseko kuamua kujitosa kupambana nae kwny Ubunge wa kahama.
Lowassa alihama CCM baada ya kukatwa kwny Kinyang'anyiro cha Urais ngazi ya Chama.
Hawakuhama CCM kwa sababu ya sera hivyo waache na wenzao wajaribu bahati zao.
Mpaka Leo hii ikitokea Lowassa na Lembeli wapewe fursa sawa za kuwania Urais na Ubunge ndani ya CCM na Chadema basi watachagua CCM .
Watu wengi walijichanganya kutaka kumuamini huyu mtu , tunashukuru muda umewaonyesha hali halisi .Mwanzoni alitaka kuwa na imani na Magu ila kadiri siku zinasonga anapoteza maboya
Uongo utakusaidia nini ?
Akili yako ipo matakoni imechanganyikana na kimba lakoNi kweli kushabikia CCM lazima uwe una matatizo kichwani kwa sababu CCM sio kilabu cha michezo. Washabiki wapo kwenye vilabu vya michezo.
CCM ni chama cha siasa ambacho maamuzi yake yanagusa wananchi moja kwa moja.
Lakini Erythrocyte, unakumbuka jinsi wananchi walioathirika na njaa na tetemeko walivyokuwa wakishangilia wakati "matusi" yalipokuwa akiporomoshwa? Unakumbuka? Sisi watz sijui tumepumbazwa na kitu gani!Sikujua kama wewe jamaa ni mchumia tumbo kiasi hicho , hivi yale matusi yaliyoporomoshwa Kagera ndio maamuzi yanayogusa wananchi yale ?
Kama kukwapua hela ya rambi rambi.Ni kweli kushabikia CCM lazima uwe una matatizo kichwani kwa sababu CCM sio kilabu cha michezo. Washabiki wapo kwenye vilabu vya michezo.
CCM ni chama cha siasa ambacho maamuzi yake yanagusa wananchi moja kwa moja.
Na wewe uko huko kwa matumaini ya kuteuliwa.Lembeli alihama CCM baada ya Mmiliki wa Super market za Imalaseko kuamua kujitosa kupambana nae kwny Ubunge wa kahama.