Hakuna namna mzigo lazima ufike

Ukatili unaofanyiwa mifugo unatisha. BTW hapo sio Bongo ukizingatia hizo namba za piki piki.
 
Kama watu wanaweza kuwafanyia watu(binadamu) ukatili wanashindwa wanyama sioni cha kushangaa apa
Kama tunataka kushangaa kaone matukio ya polisi mnapangwa kwenye diffender polisi wanakanyaga juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…