Umeongea vzr sana mwishoni jaribu kufuatila statistics kati ya sergio na casemiro utana ukweli hata wanapokutana sergio huwa anakimbizana rate na kina modric na sio casemiroMimi nafatilia uchambuzi wa kila mara umu, nilichogundua uyo mtoa post (Sergio 5) anachokiamini yeye ni kua Sergio ndo namba 6 bora duniani ata mkimletea mfano wa mtu gani hatokubali. Acheni kupoteza muda kubadilisha mtu anachokiamini.
Mie nnachokijua mifumo imebadilisha sana majukumu ya wachezaji. Kwa timu zinazochezesha DMF wawili n rahic kukaba na kuchukua mipira, ukija kwa timu zinazochezesha mmoja mfano kama Barca & Real tunaona uwezo wa zile no. 6 zao znavyopga kazi.
Ila kwa sasa mtu huwezi sema flani ni bora kuliko mwingine bila kutoa statistics muhimu. Mfano ukisema Sergio ni mzuri kuliko casemiro sema kwa nn n mzur. Labda ana goli ngapi, assist ngapi, error leads to goal ngapi, pass ngapi, average rating zao kwa msimu mzima, n.k.
Hayo ni mawazo yangu tu na mie sio mtaalam sana wa mpira ila game inapoisha kuna vitu zaidi tunavi google ili kujifunza zaidi.
Ni terminologies mbili tofauti ikiwa na maana moja.Kuna holding midfielder na defencing midfielder.. naona hao wametofautiana katika hilo.. inategemea na kocha anahitaji nin mtu km mourinho hawez kwenda sawa na sergio.
Mbona Spain word cup 2014 alichezeshwa pengine ili kumpisha Sergio dimbani
Nani?
Wewe umechezea neighbours???Uyo nmecheza nae na nmempoteza game ya neighbours fc Vs talent ya urongoni uwanja wa mongora ndege shule kwaiyo huyo kwangu tu hakutamba kwaiyo acha kuongea pumba
Hizo ni mbinu tu, mbona fabregas aishawah kutumika km namba 9, means torres hajui.Mbona Spain word cup 2014 alichezeshwa pengine ili kumpisha Sergio dimbani
Kwa sababu anaplay role zaidi ya moja kwenye midfield rolesMbona Spain word cup 2014 alichezeshwa pengine ili kumpisha Sergio dimbani
Kama tunajuana iv ww umechezea timu gan?
Umeshatoka nje ya mada na unajifanya huelewi
Kuna role inaitwa false 9 ndio alipewa fabregas kwenye hiyo mechiHizo ni mbinu tu, mbona fabregas aishawah kutumika km namba 9, means torres hajui.
Tunamuongelea natural mamba 6 ambaye yupo static kwenye namba yake hayo ya fabregas hayaa saiidii kwenye huu UziHizo ni mbinu tu, mbona fabregas aishawah kutumika km namba 9, means torres hajui.
Hizo ni mbinu tu, mbona fabregas aishawah kutumika km namba 9, means torres hajui.
Jina byser or?
Absolute trueSergio ni miongoni mwa viungo bora wa dimba la chini kuwahi kutokea na ni CDM bora kabisa for the last decade.
Ana akili kubwa sana ya mpira.