N'golo Kante kwenye ubora wakeNamba 6 kama namba 6 kweli, bila ushabiki, hakunaga kama machine hii hapa
View attachment 538443 View attachment 538443
Jamaa anakaba sana lakn hana creativity kama Sergio kama unataka kuamin mcheki Sergio anavyofanya ata umpempira amekabwa hapotezi alfu anapiga passi za ajabu na za hatari zile pass zinaitwa killer passNamba 6 kama namba 6 kweli, bila ushabiki, hakunaga kama machine hii hapa
View attachment 538443 View attachment 538443
ID Yangu inajieleza kbsa ninavyomkubar huyu jamaa na hatokuja kutokea kama yeye kwenye tasnia ya soccer kama kiungo mkabajiNashangaa Mourinho anavyohangaika kumsajili Nemanja Matic au Eric Dier kama viungo wa ulinzi yaani namba 6.
Kwanini asimsajili Sergio Busqet, kiungo matata katika nafasi ya Defensive Midfielder. Kusema kweli Sergio Busqet ni kiungo mkabaji pengine wa muda wote sema hapewi sifa zake na wadau wa soka.
Najua mtashangaa, kwakuwa wengi mmekariri kuona namba sita akiwa na sifa ya kupiga makwanja (tackling) lakini kwa Sergio habari ni tofauti yeye anajua sana kukaba nafasi na kufanya interception huku akiwa na jicho la ziada la kuanzisha mashambulizi yenye akili. Kwakifupi huyu ndio muhimili wa Barca na Timu ya taifa ya Spain.
Ifikie muda tuanze kutambua mchango mkubwa wa Sergio hasa wakati huu ambao akina Messi na Neymar wakiongezewa mikataba minono kuliko Busqet.
Ningefurahi kama siku moja Mou au Guardiola wakimleta EPL Sergio Busquet, mmoja kati ya wachezaji wasiopewa heshima na sifa zake!
Acha masihara 35 wakati pep aliweka 50 zikakataliwa au unafikir Sergio ni kma carric cio?Sawa 2mekuelewa lakini kumbuka football Ni biashara unamnunua Sergio kwa paundi labda 35mil unategemea atapiga mpira miaka mingapi pamoja na uzee wake na utamuuza sh ngp wkt atakuwa ameshazeeka...
sergio anacheza ligi ya wasichanaJamaa anakaba sana lakn hana creativity kama Sergio kama unataka kuamin mcheki Sergio anavyofanya ata umpempira amekabwa hapotezi alfu anapiga passi za ajabu na za hatari zile pass zinaitwa killer pass
Busket mwenyewe kasema Casemiro ni hatari sana katina namba wanazocheza woteNashangaa Mourinho anavyohangaika kumsajili Nemanja Matic au Eric Dier kama viungo wa ulinzi yaani namba 6.
Kwanini asimsajili Sergio Busqet, kiungo matata katika nafasi ya Defensive Midfielder. Kusema kweli Sergio Busqet ni kiungo mkabaji pengine wa muda wote sema hapewi sifa zake na wadau wa soka.
Najua mtashangaa, kwakuwa wengi mmekariri kuona namba sita akiwa na sifa ya kupiga makwanja (tackling) lakini kwa Sergio habari ni tofauti yeye anajua sana kukaba nafasi na kufanya interception huku akiwa na jicho la ziada la kuanzisha mashambulizi yenye akili. Kwakifupi huyu ndio muhimili wa Barca na Timu ya taifa ya Spain.
Ifikie muda tuanze kutambua mchango mkubwa wa Sergio hasa wakati huu ambao akina Messi na Neymar wakiongezewa mikataba minono kuliko Busqet.
Ningefurahi kama siku moja Mou au Guardiola wakimleta EPL Sergio Busquet, mmoja kati ya wachezaji wasiopewa heshima na sifa zake!
Labda Bakayoko, Matic, Kante na Casemiro wanacheza golf.Nashangaa Mourinho anavyohangaika kumsajili Nemanja Matic au Eric Dier kama viungo wa ulinzi yaani namba 6.
Kwanini asimsajili Sergio Busqet, kiungo matata katika nafasi ya Defensive Midfielder. Kusema kweli Sergio Busqet ni kiungo mkabaji pengine wa muda wote sema hapewi sifa zake na wadau wa soka.
Najua mtashangaa, kwakuwa wengi mmekariri kuona namba sita akiwa na sifa ya kupiga makwanja (tackling) lakini kwa Sergio habari ni tofauti yeye anajua sana kukaba nafasi na kufanya interception huku akiwa na jicho la ziada la kuanzisha mashambulizi yenye akili. Kwakifupi huyu ndio muhimili wa Barca na Timu ya taifa ya Spain.
Ifikie muda tuanze kutambua mchango mkubwa wa Sergio hasa wakati huu ambao akina Messi na Neymar wakiongezewa mikataba minono kuliko Busqet.
Ningefurahi kama siku moja Mou au Guardiola wakimleta EPL Sergio Busquet, mmoja kati ya wachezaji wasiopewa heshima na sifa zake!
Kumbe ww hujui mpira nauhakika hata kombe la Dunia 2010 south hujacheki embu nenda kamuangalie vzr clip zake au angalia game ya Spain na France ya juz alivyowafanya ao kante na bakayoko wakoLabda Bakayoko, Matic, Kante na Casemiro wanacheza golf.
Ingia YouTube angalia Busquets vs Madrid ndyo utaona jinsi alivyowatesaCasemiro ndio 6 bora duniani kwa sasa.anakaba,anaassist na kufunga mabao.
Msimu uliopita kaifunga Barcelona, juventus na Napoli 16 bora
Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Ligi ya wasichana ipi uefa,laliga,au word cup,maana makombe hayo yote anayosergio anacheza ligi ya wasichana
nilichogundua wewe ni mpenzi kwa sana na hakuna wa kupingana na mtazamo wako, basi sawaCassemiro kuwa bora aisaidie kwanza Brazil kuchukua world cup
Tatzo nyie mnaongea kishabik fergerson yeye mwenyewe alishakili kwamba hajawah ona kiungo mkabaji mwenye skills kma sergionilichogundua wewe ni mpenzi kwa sana na hakuna wa kupingana na mtazamo wako, basi sawa