Duke Tachez
JF-Expert Member
- Mar 28, 2018
- 5,441
- 4,093
Hahahaha!!!! Sasa hii Mimi hainihisu ngoja waje wenye vibamia vyao,Hamna hata haja ya kutudanganya maana tunawajua ...na mkichepuka fanyeni siri tu maana hata sisi huwa hatuwaambii kama tunachepuka. Halafu nani aliwaambia kuwa mwanamke anaridhika na kibamia kimoja?