Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 31,974
- 95,475
Ingekuwa na kwenye kukuza uchumi wana akili kama za kwenye ngono, weeeh.Duniani hakuna viumbe wabinafsi kama wanaume ,hasa hawa wenye rangi nyeusi !!!!!!!
Ingekuwa na kwenye kukuza uchumi wana akili kama za kwenye ngono, weeeh.Duniani hakuna viumbe wabinafsi kama wanaume ,hasa hawa wenye rangi nyeusi !!!!!!!
Kwa hiyo hatoshi maana anaingia siku zake na na anakuwa mjamzito? Yaan mpaka muache ubinafsi Yesu atakuwa amesharudiMwanamke mke mmoja hatoshi, kwasababu ataingia siku zake,atakuwa mjamzito,atakuwa busy na malezi ya mtoto,so mchepuko una umuhimu wake
Hapo ubinafsi kivipi,unajua huwa siwaelewi mnaposema sisi wabinafsiKwa hiyo hatoshi maana anaingia siku zake na na anakuwa mjamzito? Yaan mpaka muache ubinafsi Yesu atakuwa amesharudi
Wabinafsi kwa angle ipi,unajua huwa siwaelewiDuniani hakuna viumbe wabinafsi kama wanaume ,hasa hawa wenye rangi nyeusi !!!!!!!
Mimi mwanaume nahitaji kuchovya every single day,unanisaidia vipi kwa hizo siku tano??? Labda tulale vyumba tofautiMan up first....
Mzee Mengi anakuza uchumi na pembeni Ana totoz wazuri,mtoe mama Mercy, utamkuta Lucy,madam Rita,k Lyn n.k Sasa hapo Sijui utasemajeIngekuwa na kwenye kukuza uchumi wana akili kama za kwenye ngono, weeeh.
Mwanamke unamuoa anakuambia amechoka mara hajisikii,sio kwamba sisi Ni wabinafsi,no,sisi tuna sexual drive kubwa hatutosheki na mwanamke mmoja,hata manabii walikuwa na wake wengiKwa hiyo hatoshi maana anaingia siku zake na na anakuwa mjamzito? Yaan mpaka muache ubinafsi Yesu atakuwa amesharudi
Ongezea na wa kiarabu,hata hao wazungu wana michepuko Sana tu, mwanaume atabaki kuwa mwanaume tu awe mzungu, mweusi au wa bluuUngesema mwanaume wa Kiafrica na siyo kusema mwanaume tu!
Huu ukweli huwa hawataki kuukubaliNafikiri hamaanishi mke wa ndoa, anamaanisha uhusiano wa kimapenzi na mwanamke nje ya ndoa.
Kwa hiyo ni kweli, mwanaume ambaye hana uhusiano na mwanamke mwingine nje ya yule rasmi, inawezekana kwa kipindi fulani tu, sio maisha yake. Au akiwa hayuko vizuri kiuchumi, au akiwa kwenye matatizo mazito, au kwa kuogopa kitu fulani, mfano anatarajia kuomba/kugombea cheo cha kisiasa!
Ila kama kila kitu kiko sawa, lazima atakuwa na mchepuko tu!
Wanawake mtuvumilie tu!
Oya huyo Pablo Ana hela wewe japo sio Kama za Mengi ila milion mbili tatu za kula Bata anazo,hata gxV8 ya kuuzia sura anayoHuna pesa mkuu kubali tu
Ukinithibitishia kwamba manabii nao walikuwa wanawaza mapenzi badala ya uchumi naweza nikakuelewaMama hata manabii walikuwa na wake wengi kumbuka hilo
Mambo mnayowafanyia wanawake mngefanyiwa ninyi ingekuwa vita...ila mkiwafanyia wanawake huwa mnaona n sawa tu mna haki ya kufanya hivo...huo n ubinafsi wa hali ya juu....mnaangalia sana tamaa zenu za mwili bila kujali upande wa piliHapo ubinafsi kivipi,unajua huwa siwaelewi mnaposema sisi wabinafsi
Ongezea na wa kiarabu,hata hao wazungu wana michepuko Sana tu, mwanaume atabaki kuwa mwanaume tu awe mzungu, mweusi au wa bluu
Nadhani amekuelewa vizuri,, sitegemei maswali kama hayo tena!Sio 'wake' wanawake.. simple logic!
Tofautisha 'mke' na mwanamke.
Mzee Mengi anakuza uchumi na pembeni Ana totoz wazuri,mtoe mama Mercy, utamkuta Lucy,madam Rita,k Lyn n.k Sasa hapo Sijui utasemaje
Kwa haya matangazo ya nguvu za kiume tunayoyaona kila siku? Baadhi ya wanaume kwa kujitutumua jamani hahahaaahaha. Ila kweli bora kama kwingine kumekushinda, compensate tu kwenye ngono. A man who thinks maisha ya ndoa ni all about sex....Mungu tusaidie wanawakeMimi mwanaume nahitaji kuchovya every single day,unanisaidia vipi kwa hizo siku tano??? Labda tulale vyumba tofauti