Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,511
Nasubiria kusoma mapovuuu lol
Hili suala lina ukweli mkuu ndani yake. Lakini utamwambia mwanamke wa aina gani saivi akuelewe?
Wanawake wenyewe saivi huwaambii kitu, wanajua kila kitu kuanzia vibamia hadi namna za kuridhishwa. Na mitandao yenyewe hii inavyofanya mambo yaende kasi sana
Subiri magumegume yapite tayarisha nguo za kufua..
Kwani hata mnajua mnachotaka basiii, mkiwapata watii mnachowafajya hata shetani anasubiri.
Inshort ni kuwa mwanaume anapenda mwanamke asiempa attention.
Halafu ni heshima gani unayompa mkeo ilhali unachepuka na kufanya maujinga yote? Au kuna version mpya ya heshima[emoji1745][emoji1745][emoji1745]
A simple case huwa wanafunzi wa chuo au wanawake ambao umri ulio beyond 25 maana hata kama hawajafanya ila wamekuwa exposed na mazingira au marafiki mbalimbali. Therefore judgements nyingi wanazofanya zinakuwa based on experience wakati hisia na mioyo yao huongea kitu tofauti.Refer NB mkuu
wapo wanawake kibao na heshima zao sema huwabahatishi tu
sasa mbona kwenye NB hapo unasema hawapo kumbe hata wewe unayeNinae mkuu siwaz hta kumpoteza
sasa mbona kwenye NB hapo unasema hawapo kumbe hata wewe unaye
niliikimbia mno miguu ilifika mabegani ila nimekuelewaWanaenda kwa ratio ya 1/10k kama umesoma math umeelewa bibie
Wanawake kaa mkijua hakuna mwanaume ambae ni mkorofi kwa mwanamke mtii, mnyenyekevu na anaejua shuka kwa mwanaume, kama yupo mwanaume ambae anaenda against basi huyo sio mzima na anaenda kinyume na katiba yetu.
Sisi wanaume tunatambua hili tutachepuka tutafanya ujinga wote ila kwako tutarud tu na utaheshimika sana, ila kama ww ni mjuaji, kiburi, dharau UTAPATA TABU SANA na kuolewa sahau.
NB: wanawake wa dizain hii sasahiv hawapo na kama utampata aisee mlinde huyoo asiende.
niliikimbia mno miguu ilifika mabegani ila nimekuelewa