Hakuna mwanaume atakayedumu na Mwanamke!

Hakuna mwanaume atakayedumu na Mwanamke!

Mademu wa mizinga wanaboa sana. Unaweza kuwa nae faragha lakini muda wote we unawaza sijui atakupiga mzinga wa kiasi gani hadi concentration inaisha
 
Mizinga ni noma aisee! Mwanamke unaonana nae siku ya kwanza mfano jmosi, jpili asubuhi na mapema kibomu. Hii hali inakera na inakatisha tamaa Kabisa
Wengine akikupa namba tu dakika kumi nyingi umeshapigwa mzinga
 
Kama unapenda kugegeda Kwnn waogopa kuwa buzi mmh...umeachwa na formula ya umalaya wewe
 
Mwanaume kuwa na pesa ni kama mwanamke kuwa mzuri...

Alaf Ila jinsi wanaume tunavyojisikia tukiombwa hela mara ya mara hasa kwa mdada ambao humpend ni sawa pia jinsi wao wanavyojisikia kuombwa K na mwanaume ambae hawampendi.
 
Kuna wengine wanapiga mizinga ya kingese sana..
"Eti bae earphone zangu zimeharibika.. Naomba 15000 nikanunue" nikaona huyu hafai hata kwa kurumangia.. Nikampiga kufuli, funguo nikatia kwenye zege..
 
Kuna wengine wanapiga mizinga ya kingese sana..
"Eti bae earphone zangu zimeharibika.. Naomba 15000 nikanunue" nikaona huyu hafai hata kwa kurumangia.. Nikampiga kufuli, funguo nikatia kwenye zege..
Hahaahaaa!
 
Andika "hakuna mwanaume atakayedumu na mwanamke mpiga mizinga" ustake kutukosea adabu wanaume tuliobahatika kupata wanawake " binaadam"
By the way tafuta pesa uhonge, acha kulialia njaa
Wadangaji meno nje....
 
Kuombwa ombwa kila mara siyo vibaya ila ni kero fulani hivi...

Ukiona unaombwa ombwa kila mara, ujue wewe siyo mtaoaji wa hiari... unatoa pale unapopata kitu au kupewa kitu, ndiyo maana unapigwa pigwa mizinga...


Cc: mahondaw
 
Hivi hela za hawa viumbe huwa wanazipeleka wapi? Aibu mizinga kila siku ndio wanaume wanakimbia!!!
 
Back
Top Bottom