Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,101
Hii wanawake huwa wanashindwa kuelewa ni kwanini sisi wanaume tunaingia mitini Mara kadhaa baada yakufanya sex na mwanamke!ukweli ni kwamba kama mwanamke ataonyesha waziwazi dalili za mizinga iliyopitiliza kila time kuomba omba Mara baby ninunulie hiki Mara kile! Mwanzoni tunaweza kuvumilia kimtindo ila Mara baada yakuona ndani tunaingia mitini kwasababu huwezi kila siku unaombwa pesa na ukadumu na huyo mwanamke!
NB,Tunajua ni jukumu la mwanaume kumuhudumia mwanamke kwahiyo tuachieni kazi yetu tufanye jinsi tutavyoona inafaa msituingilie kutukumbusha kila mara
NB,Tunajua ni jukumu la mwanaume kumuhudumia mwanamke kwahiyo tuachieni kazi yetu tufanye jinsi tutavyoona inafaa msituingilie kutukumbusha kila mara