Hakuna mwanaume asiyependa ngono

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
28,029
Reaction score
52,507
Nimegundua maisha ni uhuni mtupu, hakuna mwanaume asiependa ngono hata awe 'decent' vipi ukikaa vibaya unaliwa tu. Utashangaa ushaachiwa manyoya, vaa chupi ya chuma na ivue kitandani kwako tu.

Nawashauri wanawake wenzangu tujiheshimu, tuwe na principle zetu. Usimuonee mtu huruma wala nini, hakuna jipya.

Bora kuwa mpweke kuliko kuwa na mahusiano ya kugegedwa.
Mwenyekiti wa CHAPUTA-kinamama.
tunza bikra tukafaidiwe mbinguni na alshababu.kwenye bikra zao 70

Sikukuu njema.
 
Acha kupotosha wenzio,mwanamke ukijifanya ni mjanja na sisi tunakupeleka kijanja janja hivyo hivyo lakini ukituria na kujiheshimu mbona mambo yanaenda safi na mwanaume ataturia tu na wewe.
alosema anamtaka mtu nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…