Kuna ukweli maana daah, ukiwa na mtoto mkali daaah balaa lake! Yani kutwa namba mpya haziishi, Yani unakuta kijana amtokee, Mzee amtokee, yani kila mtu anakuja kwa ushawishi wake. So inshorti dada Zangu wenye Shape za kiafrika(original)
wanatongozwa zaidi kuliko wengine(mtazamo wangu). Mungu atusaidie maana its Unfair Competition.....Wenye Visu vikali