Hakuna mwanamke aliye salama

MeinKempf

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2013
Posts
11,092
Reaction score
7,236
Kwenye miji mikubwa na inayokua kwa kasi kuna wana wanawake wa namna nyingi , wazuri , wazuri
kiasi, wazuri sana na wazuri kufuru.

Mwanamke yeyyote yule mzuri na wa kisasa ana wastani wa kutongonzwa na midume iliyokamilika 3. Je kwa mtirirko huu kuna mwanamke atayesalimika kupigwa pipe nje?

1.Idadi ya mitongozo / "sound" kwa siku moja:

  • Midume ya mbegu 3x1( Siku)= 3(Idadi ya mitongozo anayokumbana nayo mwanamke kwa siku moja).

2.Idadi ya mitongozo /:sound" kwa wiki moja.

  • Midume ya mbegu 3X 7 (siku)= 21 (Idadi ya mitongozo anayokumbana nayo mwanamke kwa wiki moja)

3.Idadi ya mitongozo /"sound" kwa mwezi mmoja.

  • Midume ya mbegu 3X 30 (siku)= 90 (Idadi ya mitongozo anayokumbana nayo mwanamke kwa mwezi moja)

4.Idadi mitongozo/ "sound" kwa mwaka mmoja.

  • Midume ya mbegu 3X 366 (siku)= 1,098 (Idadi ya mitongozo anayokumbana nayo mwanamke kwa mwaka moja)
5.Idadi ya mitongozo /"sound" kwa miaka 5.
  • Midume ya mbegu 3X 1,830 (siku)= 5,490 (Idadi ya mitongozo anayokumbana nayo mwanamke kwa miaka 5 mfululizo ).

Je, kwa wastani huo hapo juu, kuna mwanamke anayeitolea nje mitongozo yote yaani asinase hata kwa mitongozo 10 ? Abadani, siamini na sitoamini kamwe.Natafakari sana kama kuna umuhimu wa kuoa na kuishi na mwanamke huyo huyo maisha yangu yote.

Tafakari, chukua hatua
 
duh, hizo hesabu mh, lakini wanawake watakuja jukwaani tuwasikie
 
khaa! kwan lazma kila anaetongoza lazma akubaliwe? we mtoa mada ushatongoza wangapi na ushakubaliwa na kukataliwa na wangap?
ukitaka mwanamke alie salama acha wewe kutongoza, hapo na wenzako wataacha kutongoza ovyo, hao wanawake hawaiti mtu kumtongoza.
 
Basi idadi hiyo ni ndogo sana...itakuwa inawahusu wastaarab tu.
Kwa hawa macho juu katika kila namba ongeza 13.05.
 
ni akili kumkichwaa tuuuu wandugu kama tayar anae ampendae kwa dhat hao idad uliyotaja haez kuwavulia chupii🙄

Wote kabisa.....? Yaani huyo mwanamke nitamuita "ironic girl" .Na kama yupo basi ajitambulishe au anyooshe kidole tumuone.


Mkuu wajua kaucha kutongoza ni ngumu labda nipunguze kiwango cha kutongioza, lakini tafakuri ya idadi hii...ina nipa wasi wasi mkubwa juu ya usalama wa hizi papuchi tunazokutana nazo.



Basi idadi hiyo ni ndogo sana...itakuwa inawahusu wastaarab tu.
Kwa hawa macho juu katika kila namba ongeza 13.05.
Umenena mkuu... yaani kwa kina bi mcharuko na majimama ya mujini ndo usiseme , yaani yakisikia tu habari ya abadala kichwa wazi kwishnei....yaani hapo idadi itakuwa mala kipeuo cha tatu.
 
Uoga wenu tu, tuko salama zaidi ya mfikiriavyo(wako peke yako ulimuumba??)
 
Kwanini umesema anatongozwa na wanaume watatu kwanini hujasema 2,4,.... Au 10. Utafiti wako umefanyia wapi?
 
wapo wenye misimamo yao. kutongozwa kwa mwanamke ni kawaida tuu, na haina maana ukitongozwa unakubali.
 
Haya hiyo ni idadi ya watongozwaji....je nyinyi wanaume mnatongoza/mnatamani wanawake wangapi kwa siku.....
 
Hatari sanaaa, ila ukitaka asitongozwe mfungie ndani,kuvua pichu ni mtu kaamua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…