Hakuna mtu anaweza kuiacha JF labda afariki tu

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 31, 2016
8,513
2,000
Jamani jamiiforum Ni tamu sana.huu mtandao ni mzuri Kama hela naupenda Sana kwakweli. mmiliki wake nakupa pongezi ulifikiria vizuri Sana ukaanzisha forum hii isiyo boa.kwa jinsi ninavyoona Mimi hakuna mtu ana weza akawa member wa Jf halafu akaja akaacha kuitumia labda TU apumzike kwa muda kidogo lakini huwezi ukaikinai JF.ni Kama nyama ya mtu ukianza kuila hutaacha ukifikiria kale kachumvi chumvi,au Ni Kama punyeto ukishajisajili CHAPUTA Inakuwa Ni ngumu kuacha labda mpk uanze kuona madhara yake uanze kuhisi Kama itakumaliza nguvu za kiume,itakuzeesha ndo labda uache.
so zile ID Ambazo tulikuwa tunaziona halafu zikaja kupotea ghafla na hatujaziona Tena sio kwamba wahusika wameamua kutotumia Tena hii forum badala yake wamekujaga na ID Nyingine labda tu Kama wamefariki lakini kama ni wazima na uhakika wapo humuhumu tunaendelea nao Kama kawa.
Wapo wengi wakina bitoz,wakina miss chagga wote hawa na uhakika wamekuja na ID mpya.tena Kama huyu bitoz huwa nahisi Ni ZERO IQ.jamii forum haiachiki we SI unaona Bibi faizafoxy hapumziki tu mpk Leo ndo kwanza anazidi kuwapeleka mbio vijana wa huku.
 
ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 31, 2016
8,513
2,000
Missing Sana miss chagga ingawa FaizaFoxy amechange kidogo, amekuwa mkali kweli Kwa vijukuu Kwa majibu ya papo Kwa papo.
Kuna watu8 alipotea kipindi fulani akaja akazushiwa kifo.nashukuru nikaja kumuona Tena hewani
Kuna Jamaa anaitwa BADILI TABIA huyu jamaa sijui Yuko wapi asee
Faizafoxy anazeeka ila anazeeka vizuri Ni mwelewa me naona siku hizi ndo kapunguza ukali.watoto wanaharibu lugha ila sio hawadis sana.yuko busy na swala MUNGU ambariki Bibi yetu..huwezi kutaja malegendary wa JF UKAMUACHA FAIZAFOXY
 
Njopino

JF-Expert Member
Apr 8, 2014
3,464

Daah, huyu watu8 yupo humu jf even before sijajiunga jf. Nilikuwa kama guest nimesoma post zake sana. Hapana bwana huyu Bibi amekuwa mkari hadi nikaogopa kuchangia kwenye uzi wake, tofauti kipindi kile alivyokuwa binti.
 
Zero IQ

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
12,650
2,000
Jamani jamiiforum Ni tamu sana.huu mtandao ni mzuri Kama hela naupenda Sana kwakweli. mmiliki wake nakupa pongezi ulifikiria vizuri Sana ukaanzisha forum hii isiyo boa.kwa jinsi ninavyoona Mimi hakuna mtu ana weza akawa member wa Jf halafu akaja akaacha kuitumia labda TU apumzike kwa muda kidogo lakini huwezi ukaikinai JF.ni Kama nyama ya mtu ukianza kuila hutaacha ukifikiria kale kachumvi chumvi,au Ni Kama punyeto ukishajisajili CHAPUTA Inakuwa Ni ngumu kuacha labda mpk uanze kuona madhara yake uanze kuhisi Kama itakumaliza nguvu za kiume,itakuzeesha ndo labda uache.
so zile ID Ambazo tulikuwa tunaziona halafu zikaja kupotea ghafla na hatujaziona Tena sio kwamba wahusika wameamua kutotumia Tena hii forum badala yake wamekujaga na ID Nyingine labda tu Kama wamefariki lakini kama ni wazima na uhakika wapo humuhumu tunaendelea nao Kama kawa.
Wapo wengi wakina bitoz,wakina miss chagga wote hawa na uhakika wamekuja na ID mpya.tena Kama huyu bitoz huwa nahisi Ni ZERO IQ.jamii forum haiachiki we SI unaona Bibi faizafoxy hapumziki tu mpk Leo ndo kwanza anazidi kuwapeleka mbio vijana wa huku.
hakika mkuu Jf forever

Cc_Zero IQ
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom