Hakuna mtoto wa Rais mstaafu. Ndivyo nilivyoelewa!

Doctor yupo kazini
20220407_202357.jpg
 
Kuwa mtoto wa Rais si lazima kuwa na Uwanadamu. Na kwa maana hiyo Mwl Nyerere hiyo kwake ilitosha kukupotezea. Makogoro atuambie alishindaje Ubunge Arusha kupitia NCCR? Walikuwa hawampelekee ujumbe ntu? Maana Mwl alishasema CCM si mama yangu.
 
Makongoro ubunge wa Arusha alipomshinda Mtei hata baba yake Alishangaa!! He has always been an independent person sio kama hawa ndezi wengine wanarithi constituencies zilizoachwa na baba zao.
 
Back
Top Bottom