Hakuna mgogoro wowote CHADEMA-Wenje

Wewe mbona unalazimisha mambo, mwenye kaya amekwambia hakuna mgogoro wewe unakomaa kuna mgogoro. Umetumwa nini?
 
Operations zinaendelea kwa kasi,mimi ZZK sitaki kushiriki kujenga chama,nasubiri kugombea urais tu!
 
Mbowe hakusema maneno hayooooo, alisema atasimamiakama Mwenyekiti wa chama kupata mgonbe uraisi 2015.....la kumtaja Dr Slaa ni maneno ya Gazeti la Mwananchi pekeeeeee

 
Ni mbumbumbu wa siasa pekee ambaye ataamini Chadema hakuna mgogoro.
 

Masalia bado hamjasalimu Amri tu?
 

Lipo kundi haramu la Pindua Mbowe Group-PM7 ambalo dawa yake inachemka.
 
Nakukubali sana kamanda Wenje, kweli CHADEMA hakuna mgogoro ila kuna baadhi vijana wenye njaa ambao wamekuwa waitumiwa na maadui wa CHADEMA waliopo ndani na nje ya CHADEMA ili kutoa matamko ya kipumbavu ili kukiua chama.

Heri ya mwaka mpya mkuu Shardcole.Huu ndiyo mwisho wa kundi haramu la PM7
 
Last edited by a moderator:

Acha kuota ndoto za mchana wewe.
 

Heri ya mwaka mpya ndugu yangu
 
Mtu mnafiki ni mbaya kuliko mchawi.Kwa nini viongozi waseme uongo wakati kuna mambo hayaendi sawa ndani ya chama.Mficha ugonjwa mauti humuumbua.

Mauti itakuumbua wewe na unafiki wako.
 

Mkuu jigoku asante kwa kumfundisha huyo asiyesikia.
 
Last edited by a moderator:
Makamanda tuko nyuma yenu umati mkubwa tutapigana mpaka kieleweke hakuna kulala kabisa
 
Hiyo ni kazi ya propaganda ya ccm ambayo ndiyo iliyobakia tu maana kama kuwatumikia wananchi wameshindwa.
 
Last edited by a moderator:

Nenhe nalimhola.
Bhageshi, Kundi/makundi huwezi kuyaona kwa jicho moja. Watu wengi hapa wanaonekana wameshiba propoganda za vijiweni hata hawatafuti tena ukweli kwa sababu macho yao pia yamezibwa.

Hii ni sauti ya nyikani bhageshi. Muda utatufunulia zaidi.
 
Tushikamane na Tuzike Tofauti zetu, TUKEMEE Uchu wa kusaka Maslahi Binafsi na kubembeleza urafiki usio na TIJA na watawala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…