Hakuna mapenzi kama hakuna hivi vitu

Status
Not open for further replies.
Hahahaha sawa kabisa na ndo maana nimesema DUNIA YA KILEO mkuu.
 
Acha ujinga na fikra za kizamani hata fasihi hujasoma, mbweha wewe!
Nimeishia tu pale umechill 'getho' na familia yako...!

Hakuna familia timamu inaishi getho.
 
Noma sana !
 
Kijiji gani kisio jua pesa hayo yalikua ya zamani sasa hivi wanawake vijjijini hata salooni wanaenda vitegi kwenye magulio wanataka, siku hizi ndoa za vijijini zina kufa kama za mijini
 
Kabla sijaoa nilimwambia mama kama utani anitafutie mke huko home alicheka akasema mwanangu tafuta huko huko!

Maana ake hakuna unafuu!
Kijiji gani kisio jua pesa hayo yalikua ya zamani sasa hivi wanawake vijjijini hata salooni wanaenda vitegi kwenye magulio wanataka, siku hizi ndoa za vijijini zina kufa kama za mijini
 
Kijiji gani kisio jua pesa hayo yalikua ya zamani sasa hivi wanawake vijjijini hata salooni wanaenda vitegi kwenye magulio wanataka, siku hizi ndoa za vijijini zina kufa kama za mijini
Vijiji vingi tu .. nimekaa kijijini sana mkuu najua ninacho kiongea .kuna vijiji ukikaa elfu 5 unaweza ukaitumia week nzima
 
Sawa nakubaliana nalo hilo, ila wanawake wa hivyo vijiji wanahitaji hiyo elifu tano ili akupende kwa wakika, bila chochote hamna ndoa
 
Mapenz ni pesa mengine mwachie ngoswe.

Mwanamke hajaumbiwa shida na tabu hizo ni za sisi wanaume tuuu, ukiwa na pesa hutokaa uzidiwe na nyege(men)
 
Vijiji vingi tu .. nimekaa kijijini sana mkuu najua ninacho kiongea .kuna vijiji ukikaa elfu 5 unaweza ukaitumia week nzima

Kitu pekee utatumia na hiyo elfu tano yako ni kununua vocha, ukijiunga kifurushi cha buku tatu hakikisha hakuna mtu anakuona... watakushangaa unachezea hela.

Huduma nyingi unapata bure tu, kwanza ile tu kuwa umetoka mjini kila demu anakumezea mate!
 
Hahaha[emoji16][emoji16] true true kabisa
 
Kitu pekee utatumia na hiyo elfu tano yako ni kununua vocha, ukijiunga kifurushi cha buku tatu hakikisha hakuna mtu anakuona... watakushangaa unachezea hela.

Huduma nyingi unapata bure tu, kwanza ile tu kuwa umetoka mjini kila demu anakumezea mate!
Wanawake wa sampuli hio wa nini sasa
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…