and 998 others JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 27,921 Reaction score 39,109 Sep 10, 2024 #1 Wakina Manka wote ni wapambanaji katika utafutaji iwe kazi, biashara hata kudanga. Ili mradi pesa ipatikane. Attachments 39934118e89c49de9c5327b27be8c11b_An9fgz6zFW6xK5l_MS3_WxFJEGxnrgBl9eAFJnVpwLkLDAZLiayzEPuV3IO0A...mp4 2.6 MB
Wakina Manka wote ni wapambanaji katika utafutaji iwe kazi, biashara hata kudanga. Ili mradi pesa ipatikane.
DR SANTOS JF-Expert Member Joined Mar 11, 2019 Posts 13,895 Reaction score 31,140 Sep 10, 2024 #2 Sponsor niachie mai wangu
Lambardi Platinum Member Joined Feb 7, 2008 Posts 19,974 Reaction score 23,992 Sep 10, 2024 #3 Basi sawa kina Manka hoyeeeee
Mamsosa JF-Expert Member Joined Sep 3, 2024 Posts 1,309 Reaction score 2,850 Sep 10, 2024 #4 Huo ni uwekezaji na hilo danga ni mtaji wake so aendelee kuongeza na wengine kukuza hisa
Mshangazi JF-Expert Member Joined Sep 9, 2024 Posts 1,142 Reaction score 4,514 Sep 10, 2024 #5 Kuna manka mmoja hapa ofisini kwetu ... acha nisiseme asijekuwa hapa jf pia. Ila sio kila manka ni MANKA. Wengine ni manka wa kuchora
Kuna manka mmoja hapa ofisini kwetu ... acha nisiseme asijekuwa hapa jf pia. Ila sio kila manka ni MANKA. Wengine ni manka wa kuchora
and 998 others JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 27,921 Reaction score 39,109 Sep 10, 2024 Thread starter #6 Mshangazi said: Kuna manka mmoja hapa ofisini kwetu ... acha nisiseme asijekuwa hapa jf pia. Ila sio kila manka ni MANKA. Wengine ni manka wa kuchora Click to expand... Manka mpambanaji haswa
Mshangazi said: Kuna manka mmoja hapa ofisini kwetu ... acha nisiseme asijekuwa hapa jf pia. Ila sio kila manka ni MANKA. Wengine ni manka wa kuchora Click to expand... Manka mpambanaji haswa
SSH2025_2030 JF-Expert Member Joined Jul 9, 2012 Posts 9,661 Reaction score 9,753 Sep 10, 2024 #7 Babu is dead
and 998 others JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 27,921 Reaction score 39,109 Sep 11, 2024 Thread starter #8 blessings said: Babu is dead Click to expand... Mmh
Bueno JF-Expert Member Joined Aug 16, 2022 Posts 34,610 Reaction score 59,579 Sep 11, 2024 #9 Michewen said: biashara hata kudanga Click to expand... Hapo kwenye kuuza Papa ndio nimekuelewa vizuri
Michewen said: biashara hata kudanga Click to expand... Hapo kwenye kuuza Papa ndio nimekuelewa vizuri
Bueno JF-Expert Member Joined Aug 16, 2022 Posts 34,610 Reaction score 59,579 Sep 11, 2024 #10 Michewen said: Manka mpambanaji haswa Click to expand... Anauza Papa mpaka international anawawakilisha vyema wakina manka
Michewen said: Manka mpambanaji haswa Click to expand... Anauza Papa mpaka international anawawakilisha vyema wakina manka
Bueno JF-Expert Member Joined Aug 16, 2022 Posts 34,610 Reaction score 59,579 Sep 11, 2024 #11 Mshangazi said: Kuna manka mmoja hapa ofisini kwetu ... acha nisiseme asijekuwa hapa jf pia. Ila sio kila manka ni MANKA. Wengine ni manka wa kuchora Click to expand... Kudanga wenyewe wanaita kujitafuta kwa acha ajitafute atajipata
Mshangazi said: Kuna manka mmoja hapa ofisini kwetu ... acha nisiseme asijekuwa hapa jf pia. Ila sio kila manka ni MANKA. Wengine ni manka wa kuchora Click to expand... Kudanga wenyewe wanaita kujitafuta kwa acha ajitafute atajipata
SSH2025_2030 JF-Expert Member Joined Jul 9, 2012 Posts 9,661 Reaction score 9,753 Dec 4, 2024 #12 Wajane wa Mafuru na Ndugulile wote wanajielewa