Hivi karibuni kumetokea Na kauli Na thread Mbalimbali zinazopotesha kauli ya Raisi kuhusiana na mradi wa maji Na suala la muwekezaji.
Ukweli ni kwamba kauli ya Raisi haina madhara Kwa muwekezaji kwani ili kitu kiweze kubatilishwa ni wazi hatua Za kimaandishi zinatakiwa kuchukuliwa ndio Hapo leseni inakuwa batili , lakini hadi Sasa kauli ya serekali ni ya kushinikiza mradi huo ufanikiwe iwe ni Kwa kujadiliana na mwekezaji Na wajenzi ili kuona ni njia zipi zilizopo Za kuweza kufanikisha mradi huo.
Hivyo Kelele Na majungu yanayo endeshwa Na baaadhi ya waandishi wa Habari , wanasiasa Na mashabiki wao ni kutokana Na kushindwa kueleweke Hatua gani zinatakiwa kuchukuliwa ili leseni iweze kufutwa.
Na pia ni njia gani zinazoweza kuchukuliwa ili pande mbili zinavyoweza kupewa shinikizo la kumaliza mradi wa maendeleo Karol's wakati Na pia kushindwa kuelewa kauli Za kuchochea kufanyika kitu Cha kimaendeleo Na sio kuwa Na mchango hasi Kwa Jamii