Hakuna kuremba

Wanaume wa Dar wanaweza hii kweli! Maaana hapo zege linawasubir.hapa n kazi tu braza

Cc. Molembe, wiseboy
 
si unaona hzo tofali kwa pembeni zinawasubiri...
Wanaume wa Dar wanaweza hii kweli! Maaana hapo zege linawasubir.hapa n kazi tu braza

Cc. Molembe, wiseboy
 
Baba hiyo ngoma mbichiii, ndo SA Sita mchana, zinatakiwa tofali zipande Kama 500 hv mpka jion, da hii inakumbusha suma JKT,
 
Wakisema zege halilali, jua hapo ni kaz kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…